Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

ukitaka kujua tofaut zao fikiria majasus wa kike wa nchi flan waliokamatwa dodoma wakifanya uchangudoa na uangalie makomandoo wanaofanyaga show sikukuu ya uhuru! kifup unaweza kuwa na jasus msomi, kahaba, dreva taxi, kuli, mkulima, barmed, askari, n.k. Upande wa pili nadhan unajua wanapatikana wapi.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to the Almighty. Leo swali langu ni kama hivi;

Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

Nimeuliza hivyo kwa maana kwamba inasemekana hawa wote wawili wanakuwa ni watu waliopitia mafunzo magumu sana ya uvumilivu (endurance), matumizi ya silaha pamoja na kujilinda (self-defense).

Kuna baadhi ya watu wanadai Jasusi anatumia akili nyingi na nguvu kidogo wakati Commando anatumia nguvu nyingi na akili kidogo.

Ni nani mtu hatari sana kumzidi mwenzake?
Jesus si ni wapelelezi tu wengine wamechukuliwa kutoka greenguard tu, wengine scouts, wengine vyuoni, wengine waajiriwa selikari za mitaa, wengine serikali kuu, wengine ktk vyombo ya ulinzi na wengine sasa ndo makomandoo. Hata mm na ww twaweza kua majasus ni mafunzo tu na sheria. Ila mm na ww hatuwez kua makomandoo Kwa sasa.
 
#jasusi ni Comando aliyepew ujuzi wa kupata taarifa mbalimbali kuhusu aspect yeyote MF kiuchumi,kisiasa,na hata private secret za viongoz wakubwa,Mara nyingi majasusi huwa na elimu kubwa ya #saikologia kwa akili ya kumhadaa mtu wanaemtaka,Mara nying jasusi anaweza hata kuwa muuza karanga huku akijua anachokitafuta,hawa kazi yao kubwa ni kufanya upelelezi wa kina na kukusanya taarifa muhim,wanakuwa na mbinu za kikomando pia maana kuna sehem itawalazimu watumie nguvu kupata taarifa Fulani,#comando huyu ni mtu aliyepewa mafunzo ya grade ya Juu ya kijeshi,hawa mara nying hutumiwa kutekeleza Yale yaliokusanywa na jasusi kwa luga nyepesi Comando ni mtekelezaji wa taarifa ya jasusi,comaando Mara nyingi kazi yake n mwanafunzi wa jasusi
 
Jasusi na commando ni mtu moja
 
Jasusi ni komandoo anayetumwa nje ya nchi kufanya upelelezi kwa maadui wa nchi yake na Jasusi huandaliwa toka akiwa mdogo atakulia hiyo nchi ya kigeni kumbe nia na lengo kutekeleza misheni
 
Jesus si ni wapelelezi tu wengine wamechukuliwa kutoka greenguard tu, wengine scouts, wengine vyuoni, wengine waajiriwa selikari za mitaa, wengine serikali kuu, wengine ktk vyombo ya ulinzi na wengine sasa ndo makomandoo. Hata mm na ww twaweza kua majasus ni mafunzo tu na sheria. Ila mm na ww hatuwez kua makomandoo Kwa sasa.
Bora yako
 
#jasusi ni Comando aliyepew ujuzi wa kupata taarifa mbalimbali kuhusu aspect yeyote MF kiuchumi,kisiasa,na hata private secret za viongoz wakubwa,Mara nyingi majasusi huwa na elimu kubwa ya #saikologia kwa akili ya kumhadaa mtu wanaemtaka,Mara nying jasusi anaweza hata kuwa muuza karanga huku akijua anachokitafuta,hawa kazi yao kubwa ni kufanya upelelezi wa kina na kukusanya taarifa muhim,wanakuwa na mbinu za kikomando pia maana kuna sehem itawalazimu watumie nguvu kupata taarifa Fulani,#comando huyu ni mtu aliyepewa mafunzo ya grade ya Juu ya kijeshi,hawa mara nying hutumiwa kutekeleza Yale yaliokusanywa na jasusi kwa luga nyepesi Comando ni mtekelezaji wa taarifa ya jasusi,comaando Mara nyingi kazi yake n mwanafunzi wa jasusi
Unajua ulichokiandika mkuu?

Commando usimfananishe na chochote kile, Komando ndie anayefundishwa ujasusi, Jasusi hafundishwi ukomando.

Mpaka uwe jasusi ni jitihada zako tu kusoma, siku hizi na connection, Commando hata connection hakuna na ni kozi ambayo mtu haombi kizembe, ni unachaguliwa kwenda kutengenezwa.

Na ina umri wake maalumu kujifunza ukomando tofauti na ujasusi. Mkuu ukisikia mtu ni komando, ana bawa full, achana na hicho kiumbe.
 
tukimaliza kujadili hili tujadili Watu wasiojulikana VS CCM nani wa kumuweka mbali na ustawi wetu
 
Jasusi unaweza kua hata ww kama nchi husika au idara ya ujasusi itakuona unaweza kupenya vizuri na kufanya kazi (kukusanya taarifa etc) flan ambayo mtu mwingine itamuia vigum. Kwamfano, ni rahisi Kardinali Pengo kutumwa kama Jasusi Vatican kuliko umtume mtu wa Kawaida

Lakini Komando ni mtu hatari, mwenye mafunzo na anatumika kwenye mission zinazohitaji kuapply skills na force

Sent using Jamii Forums mobile app
Good Bro. watu wanachanganya. Jasusi ana mafunzo ya kufika sehem, kuzijua, kukusanya, kuzificha na kuzifikisha taarifa muhimu zinazotakiwa na idara husika. jasusi anaweza kuwa mwanasiasa, muuza pipi, padre, sheikh, mchungaji, askari au hata mwanafunzi. Ila tu anatakiwa kuwa na sharp mind na mwepesi wa kugundua hatari anaposhtukiwa. mfano hai ni kuwa mabalozi weng (asilimia kubwa) na wafanyakaz (maafisa ubalozi) wa ubalozi wanaowakilisha nchi zao katika vituo walivyopangiwa ni majasusi. Komando lazima awe askari wa jeshi husika aliyekwiva kimafunzo na aliye tayari kufanya mission yoyote iwe ya ulinzi, uokoaji, utekaji au kuingilia shambulio na kulizima. anaweza pia kutumiwa kama jasusi. Mfano wa nakomandoo maarufu wanaofahamika na wengi ni Navy Seals Team Six kutoka Jeshi la Marekani, hawa ni maalumu kwa mashambulizi ya mwisho baada ya majasusi kufanya kaz yao, wanajiografia kufanya kaz yao na kupeleka report zao then Navy Seals wanavamia, mfano uvamizi uliofanywa na Navy Seals kwa Osama ambapo walienda Makomandoo 45 tu wa Navy Seals wakiwa na rubani wa helkopta kutoka kitengo cha helkopta cha Night Stalkers.
 
Chief mbona hutaki kutia neno huku?

Huyo mchimba chumvi tu huo mjadala kwake ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom