green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,303
- 35,849
kwahiyi jasusi yerick nyerere pia ni komandooJasusi kwasababu hawa uwa wanachaguliwa hata kutoka katika makomandoo ila sema upewa mafunzo zaidi. Jasusi unaweza kuta ana skills lukuki.
Ukitaka kuelewa vizuri angalia real adaptation za JAMES BOND. Bond ni Commando kwa cheo lakini according to the novel amejifunza ujuzi zaidi kuwa jasusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila jasus ni commando. Ndani ya mashirika ya ujasusi kuna kuwa na vikosi maalum kwa ajili ya kazi za hatari.. na wote ndan ya hivyo vikosi ni former special forces.Si kila Commando ni Jasusi lakini kila Jasusi ni Commando. Nadhani ushapata jibu lako hapo.
Dah...hata hawa mabaa medi tunaoambiwa ni majasusi nao ni makomando?Si kila Commando ni Jasusi lakini kila Jasusi ni Commando. Nadhani ushapata jibu lako hapo.
Si kweli kuwa kila jasusi anapitia mafunzo ya ukomando.jasusi ni hatari sana
maana mbinu za ujasusi zina beba mpaka ukomando.
majasusi wengi ni vitengo ambavyo vinakuwa vinapata mafunzo ya kila idara.ukilinganisha na komando anakuwa napita idara ya za upambanaji sana.
majasusi wengi unakuta ndio wanao ongoza makomando kwenye kazi.
respect ericko nyerere
ujasusi wa kidola
Broo Infantry soldier Hamna mtu mbaya kama Jasus, sina namna ya Kuelezea lkn Jasus is extraordinary hasa hasa ukiaja na mitazamo ya Threat ambazo anaweza kusababisha, Maana majasusi mostly effects zao huwa zipo kidplomatic haswa, anaweza kuhatarisha hata usalama Wa inchi, any way Agents ar even more extraordinary compared to Commander's
Wamekutana mkuu. Ni kama kijiwe cha kahawaYou are not serious, right?