Kati ya hizi kampuni mbili Zola Tanzania na Mobisol Tanzania ipi ina bidhaa nzuri?

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Wadau nataka kufunga umeme wa jua Nyumbani, Naombeni ushauri na uzoefu wenu kati ya hizi kampuni mbili Zola Tanzania na Mobisol Tanzania ipi nzuri na bora kwa vifaa vyake.

ZOLA wanamitambo ya WATT 40 mpaka 100 NA MOBISOL ni WATT 40 mpaka 200.

NIJIUNGE KAMPUNI GANI KATI YA HIZI?
 
Cash ni sh ngap kwa mobisoil na zola na mikopo ipoje kwa ujumla package zao zipoje
 
Back
Top Bottom