Kati ya haya ni lipi walitumia kumpa kikwete phd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya haya ni lipi walitumia kumpa kikwete phd?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by lifeofmshaba, Apr 18, 2011.

 1. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  [FONT="Times New Roman","serif"]Political career [/FONT]

  [FONT="Times New Roman","serif"]Kikwete served as the foreign minister of Tanzania from 1995 when the government of President Benjamin Mkapa took office. Before that, he served in various posts as minister before he was officially nominated to be the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party's presidential candidate in the general elections, which were held on 14 December 2005. He won the election and was sworn in as president.[/FONT]


  • [FONT="Times New Roman","serif"]1975-1977[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] –[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] 2yrs -Deputy Regional Secretary of Tanganyika Afrcan National Union (TANU) [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1977-1980[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 3yrs -Deputy Secretary of CCM, Zanzibar [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1980-1981[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 1yr - Administrative officer CCM Headquarters [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1981-1983[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 2yrs- CCM Regional Secretary Tabora [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1983-1986[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 3yrs- Political Tutor at the Tanzania Military Academy in Monduli [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1986-1988[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 2yrs- Nachingwea and Masasi Districts CCM Secretary General [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1988 - 1990[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 2yrs- Nominated Member of Parliament [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1988 – 1990 [/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] -2yrs- Deputy Minster of Energy [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1988 - 1990[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 2yrs- Member of Parliament for Bagamoyo District [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1990 - 1994[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 4yrs- Minister of Water, Energy and Minerals [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1994 - 1995[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 1yrs- Minister of Finance [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1990 - 2005[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 5yrs -Elected Member of Parliament for Chalinze District [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]1995 - 2005[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] – 10yrs- Minister of Foreign Affairs and International Cooperation [/FONT]
  • [FONT="Times New Roman","serif"]2005[/FONT][FONT="Times New Roman","serif"] - Current - President of Tanzania (Sworn in on December 21 2005) [/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]
  [/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]sijui ni cheo kipi hapo juu wametumia kumpa MASTERS na PHD[/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]
  [/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]au ni jinsi alivyo mkalimu kwa kuwapa vyeo mafariki zake na watoto wa marafiki zake , na wanaokosa kuwaundia mkoa wa kwenda kutawala?[/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]
  [/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"] au ni jinsi anavyoweza kuchezea akili za vijana kama NAPE mpiga vita ufisadi ambaye sasa anautetea baada ya kupewa shibe?[/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]
  [/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]au jinsi alivyotumia familia yake kufanya kampeni kwa maslahi ya familia?[/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]
  [/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]au kusafiri sana nje ya nchi kuliko raisi yeyote duniani?[/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]
  [/FONT]
  [FONT="Times New Roman","serif"]au ni hiyo zawadi ya dogo hapo chini?[/FONT]
  KIKWETE.jpeg


  mimi naona kama ufisadi wa elimu tu huu, hakuna kitu alichofanya kikwete kama kiongozi kupewa Phd, watanzania wana hali ngumu ya maisha,

  isitoshe ni rais anayeongoza kudanganywa, au ndicho kikezo walichotumia kumpa hiyo phd?
   
 2. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  dah jamaa kweli ni mwanasiasa huyu hakuna post hata moja ya utendaji hapo
   
 3. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unafikiri kuwabadilisha watu kama Nape toka uzalendo mpaka ufisadi mchezo? PHD hiyo mkuu
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nimekulike bahati mbaya nkaambiwa an error occured!
   
 5. b

  bansenbana Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hakuna chuo ambacho kimempa PhD. Bali alipewa Doctor Honoris Causa. Kwa hiyo hata aliyeanzisha mada hii hajui anachokisema ila ni kejeli tu kwa Rais wa Jamhuri.
   
 6. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hiyo unayoongea wewe inapatikana vipi? harafu mkuu doctor= phd
   
 7. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni vigezo gani walitumia kumpa hiyo doctor yako mkuu maana naona ujanajaribu kuchakachua ufahamu wangu
  harafu mbona mnapenda vitisho rais wa nchi ni upanga gani huo wa kuchweka hisia na mawazo ya watu, hakiwa rais ndio hasemwi, yaani hapo umenitia hasira za kudai katiba mpya, haya ndio mapungufu ya katiba yetu. WAKATI WA MWINYI ALIKUWA ANAITWA MTUKUFU RAIS, yote hiyo kutisha watu wasiseme kitu, maana uwezi kumuita mtu mtukufu kisha ukamkosoa, lakini mimi nakuwambia kwa hakika baki na uoga wako sisi tutaikombe nchi na wewe ni mmoj ya watu mtakaojivuni ukombozi wa haki na usawa kwa kila mtanzania
  QUOTE=lifeofmshaba;1872696]hiyo unayoongea wewe inapatikana vipi? harafu mkuu doctor= phd [/QUOTE]
   
 8. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  An honorary degree[1] or a degree honoris causa (Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university (or other degree-awarding institution) has waived the usual requirements, such as matriculation, residence, study and the passing of examinations. The degree is typically a doctorate or, less commonly, a master's degree, and may be awarded to someone who has no prior connection with the academic institution.
  Usually the degree is conferred as a way of honoring a distinguished visitor's contributions to a specific field, or to society in general. The university often derives benefits by association with the person in question.


  swali bado liko pale pale nini amefanya kikwete mpaka kupewa hiyo heshima? au hao jamaa walifanya ili afanane na Dr slaa?  source Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 9. b

  bansenbana Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hapana sio lazima Doctor= PhD, kwa mfano madaktari wa mifugo pia wanaitwa doctors na sio wote wenye PhD. Madaktari wa binadamu pia wanaitwa madoctor, lakini sio wote wenye PhD. Upatikanaji wa Doctor Honoris Causa unategemea na chuo kikuu husika. Kwa taarifa zilizotolewa kwa mara ya kwanza JK alipewa Doctor Honoris Causa na chuo kikuu kumoja nchini kenya kwa mchango wake wa kusuluhisha PNU na ODM. Tukiacha ushabiki hizo ndio sababu zilizofanya apewe. Mtu sasa unaweza ukajadili kuwa inatosha au haitoshi, anastahili au la.
   
 10. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,246
  Trophy Points: 280
  It iz 4rom Ward University.
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu unajaribu kugeuza hoja unajua kabisa sio hao matabibu watu wanaongelea hapa, tunaongelea Phd kama ya dr SLAA, au hachana na mambo ya utabibu, na UDOM walimpa kwa mchango gani? katika taifa ili
   
 12. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hakuna anaye mdhalilisha mtu, yeye alizike na elimu yake, kwani kunamtu alimzuia kusoma kiukweli ukweli? kama kapewa kizushi watu tusiulize mkuu?
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahhahah lol
  mmhh we mchoyo..
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Non of the above..
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Duniani wapo watu wengi wanapewa hizo PhD za heshima, lakini unajulikana wazi kuwa ni za heshima na wala hazina uzito wowote kwenye uwanja wa Taaluma.
  Kinachoshangaza kwa petu na ni vichekesho, ni kuona chuo ambacho bado hakitoi Ph.Ds za kitaaluma lakinikukimbilia kuwapa watu za heshima. Hapa tunazidi kujidhihirisha jinsi tunavyokuwa wachakachuaji.
   
 16. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mkuu kwa maneno mengini ni kwamba hao jamaa wanaotoa WANGUSHI HIVYO VYETI
   
 17. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Very true , ni kweli kabisa, nakubaliana na wewe, wewe ni mzalendo
   
 18. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sio hajui anachokisema wala kejeli,yeye ametafuta sifa au vigezo hajaviona ya kuwa Dr,hivyo kama unavifahamu utujuze ili sisi sote tufaidike.(simsemie)
   
 19. b

  batadume Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  duuu uuuuuuuu wewe waukweli mchizikachakachua sana kama si mademu za watu basi kachakachua degree kamaasidegree basi mzee wawatu kachakachua Phd>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
   
 20. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli hiyo ndio main point
   
Loading...