Kati ya haya mambo mawili lipi ambalo ni sahihi na jema sana?

kwahiyo wewe unapokuwa na rafiki yako ana mke mzuri,ni lazima umle,achilia mbali ikitokea bahati umemfuma mkewe gesti?,kumbuka iko siku utaoa na mkeo pia ataliwa uroda na rafiki yako,je utapenda hivyo?
Nakushauri mwite huyo mwanamke umkanye kuwa alilofanya si jema na kwamba hutamsema kwa mumewe na wala usimtongoze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa akiliwa inakuhusu nini...acha hizo we fanya yako naye afanye yake..jamaa mwenyewe umemkuta anaosha VYOMBO sasa unataka nini....umbea wa wanawake we kaza wako amsha kibishi, ye akija kushoboka ni yeye mwenyewe kwa kuwa umemuona...we kuwa nigga fanya yako we swahiba wako atajua mwenyewe...si ajabu ndani anapigwa makofi af akiwa na wewe anajivimbia
 
Back
Top Bottom