Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjibu na kaa kimya.
Baadae ananipigia simu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana, badae huyu mwanafunzi wa chuo kanambia anakuja next week ndio anamaliza chuo anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia niko njia panda sasa sijui ni yupi ambae ni sahihi.
Naomben ushauri wana JF wenzangu