Kati ya hawa wote ni Rais Kaunda tu ambae bado yuko hai

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
1550788662120.png

Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda

Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu

Wengine ninaomba msaada.

Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
 
View attachment 1028590

The Africans, by David Lamb!
Wote hao wameziacha nchi zao katka lindi la ufukara! Walikuwa wanafanya nini? Picha hii imenifikirisha sana! Nimelinganisha nchi yetu na vinchi vidogo kama Switzerland, Dennark, Sweden etc. Sisi au hawa waleta "uhuru" walifail wapi, sasabu za kufail ni zipi?
 
The Africans, by David Lamb!
Wote hao wameziacha nchi zao katka lindi la ufukara! Walikuwa wanafanya nini?
Vision ya Nyerere ilikuwa kuingunisha Afrika kama muungano wa North America. Aliona umoja ndiyo utakaoleta maendeleo.

Alitumia resources nyingi katika ukombozi wa bara la Afrika. Siasa za ujamaa hazikuleta tija pia vita ya Kagera iliturudisha nyuma sana.
 
View attachment 1028590

Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda

Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu

Wengine ninaomba msaada.

Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Mbona huyo aliye kushoto kwa Dr.Ken Kaunda,mwenye miwani na tabasamu mwanana,ni kama Tundu Lissu?

Hata hivyo,nichukue fursa hii kumtakia maisha H.E Dr.Kaunda.Huyu alikuwa mmoja wa Marais wacha Mungu na mtu-wa-watu,kama alivyo H.E Alhaji Mwinyi,na si ajabu Mwenyezi Mungu kawatunuku maisha marefu (though si lazima kwamba ukiwa mtu mwema ndo utaishi maisha marefu,na kinyume chake).
 
Nilifikiri ni Augustinho Neto wa Angola lakini wakati Neto anaingia madarakani mwaka 1974, Obote alikuwa Tanzania kama mkimbizi wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom