Kati ya hawa wawili ni nani amesoma na kuelimika na ni nani amesoma ili kutimiza tu wajibu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,435
108,542
“Jana nimemuita Balozi wa Canada na nimemuambia kwamba siridhishwi na tabia inayoendelea ya Ndege zetu kila siku kukamatwa Canada, Mh. Rais nafikiri tuangalie vizuri hili suala la kununua Ndege Canada maana sio wao peke yako wanaotengeneza Ndege”-WAZIRI KABUDI

" Wajilaumu wenyewe. Ukinunua ndege cash na kulipa pesa zote , maana yake title (umiliki) inahamishwa moja kwa moja kwenu na inaweza kukamatwa popote kufidia deni. Mfanye transfer of title nyumbani wakati wa kumaliza malipo ya mwisho, “on delivery”. Akili ni nywele “- DANIEL MARARI

Kazi Kwenu!
 
Mbobezi wa sheria asiyejua maana ya utawala wa sheria!
Suala la kisheria (kimahakama) lina uhusiano gani na yule balozi?
Peleka wanasheria wakatutetee acheni siasa kwenye mambo ya msingi.
Usimlinganishe kabudi mbobezi wa sheria na huyo galasa karari hajui lolote ni mbwatukaji kama kina tungu na zito watoto wa nyumba ndogo

State agent
 
Balozi kuja lazima alete taarifa ,kama unajua kazi ya balozi ni kukusanya taarifa na hapa ameleta taarifa wapi pa kuanzia au ulitaka waende tu mahakamani bila taarifa ni vita hii tena kubwa ya kiuchumi inahitaji intelligence ya uhakika

State agent
Mbobezi wa sheria asiyejua maana ya utawala wa sheria!
Suala la kisheria (kimahakama) lina uhusiano gani na yule balozi?
Peleka wanasheria wakatutetee acheni siasa kwenye mambo ya msingi.
 
Kuhusu ule mkutano wa Waziri na yule balozi wa Canada ulihusu nini?
Achana na balozi wa Tanzania aliyepo Canada
Balozi kuja lazima alete taarifa ,kama unajua kazi ya balozi ni kukusanya taarifa na hapa ameleta taarifa wapi pa kuanzia au ulitaka waende tu mahakamani bila taarifa ni vita hii tena kubwa ya kiuchumi inahitaji intelligence ya uhakika

State agent
 
Umezoea kukununwa? Nimekwambia acha shobo kama mademu wa kisenyi na kurefusha simi ,ninachangia kila uzi wa siasa hapa sichagui na wala sijawahi mfollow mtu

State agent
Naona Nyie Mnatamba Tu Na Jf Yenu:

MNATUKANA MATUSI MAKUBWA

Mods Hawawaoni Ila Tukiweka Sisi Hisia Zetu Ban

Mods Kuweni Na Akili Kidogo Kama Matusi Mnaruhusu Tuambieni

Nimejitahid Sana Kuwaita Kistaarabu Ila Nilitaka Niwatukane Pia Maana Mnachagua Sana Adhabu Humu Ndani.

Mhariri Moderator
 
Ndugu yangu Karemera rwigyema mazimpaka!usifananishe uprofesa wa kukariri wa kabudi na akili kubwa za marara!!Elimu yetu watz imeprove failure sana!ndo mana mwenye Phd anatuongoza hapa TZ kama hajasoma vile!!!!!Elimu za mizuka hz full ukatuni na vituko!!!!!lyarugo luzindwa!!!
 
Balozi kuja lazima alete taarifa ,kama unajua kazi ya balozi ni kukusanya taarifa na hapa ameleta taarifa wapi pa kuanzia au ulitaka waende tu mahakamani bila taarifa ni vita hii tena kubwa ya kiuchumi inahitaji intelligence ya uhakika

State agent
Kwani Wajibu wa Balozi wa nchi nyingine ni kuijasusia nchi yako? Huwezi ukawa serious!! Halafu unajua kuwa hayo ni mambo ya kimahakama ambayo serikali haipaswi kuyaingilia na zaidi kwa utamaduni wa wenzetu katika utoaji haki wala si sehemu ya kuogofya kama huku kwetu.
Acheni kumsumbua mkulima wa watu anahangaika na jembe lake hadi canada , mlipeni.
 
Back
Top Bottom