Kati ya hawa wawili ni nani amesoma na kuelimika na ni nani amesoma ili kutimiza tu wajibu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,469
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,469 2,000
“Jana nimemuita Balozi wa Canada na nimemuambia kwamba siridhishwi na tabia inayoendelea ya Ndege zetu kila siku kukamatwa Canada, Mh. Rais nafikiri tuangalie vizuri hili suala la kununua Ndege Canada maana sio wao peke yako wanaotengeneza Ndege”-WAZIRI KABUDI

" Wajilaumu wenyewe. Ukinunua ndege cash na kulipa pesa zote , maana yake title (umiliki) inahamishwa moja kwa moja kwenu na inaweza kukamatwa popote kufidia deni. Mfanye transfer of title nyumbani wakati wa kumaliza malipo ya mwisho, “on delivery”. Akili ni nywele “- DANIEL MARARI

Kazi Kwenu!
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,469
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,469 2,000
Usimlinganishe kabudi mbobezi wa sheria na huyo galasa karari hajui lolote ni mbwatukaji kama kina tungu na zito watoto wa nyumba ndogoState agent
Unajisikiaje jinsi ambavyo mara kwa mara unafuatilia kila Uzi au Mabandiko yangu hapa JamiiForums? Yaonekana nakukuna mno.
 
moudgulf

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2017
Messages
71,150
Points
2,000

moudgulf

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2017
71,150 2,000
Mbobezi wa sheria asiyejua maana ya utawala wa sheria!
Suala la kisheria (kimahakama) lina uhusiano gani na yule balozi?
Peleka wanasheria wakatutetee acheni siasa kwenye mambo ya msingi.
Usimlinganishe kabudi mbobezi wa sheria na huyo galasa karari hajui lolote ni mbwatukaji kama kina tungu na zito watoto wa nyumba ndogoState agent
 
state agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Messages
1,783
Points
2,000

state agent

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2019
1,783 2,000
Balozi kuja lazima alete taarifa ,kama unajua kazi ya balozi ni kukusanya taarifa na hapa ameleta taarifa wapi pa kuanzia au ulitaka waende tu mahakamani bila taarifa ni vita hii tena kubwa ya kiuchumi inahitaji intelligence ya uhakika

State agent
Mbobezi wa sheria asiyejua maana ya utawala wa sheria!
Suala la kisheria (kimahakama) lina uhusiano gani na yule balozi?
Peleka wanasheria wakatutetee acheni siasa kwenye mambo ya msingi.
 
moudgulf

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2017
Messages
71,150
Points
2,000

moudgulf

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2017
71,150 2,000
Kuhusu ule mkutano wa Waziri na yule balozi wa Canada ulihusu nini?
Achana na balozi wa Tanzania aliyepo Canada
Balozi kuja lazima alete taarifa ,kama unajua kazi ya balozi ni kukusanya taarifa na hapa ameleta taarifa wapi pa kuanzia au ulitaka waende tu mahakamani bila taarifa ni vita hii tena kubwa ya kiuchumi inahitaji intelligence ya uhakika

State agent
 
Mtwara Smart

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2019
Messages
528
Points
1,000

Mtwara Smart

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2019
528 1,000
Umezoea kukununwa? Nimekwambia acha shobo kama mademu wa kisenyi na kurefusha simi ,ninachangia kila uzi wa siasa hapa sichagui na wala sijawahi mfollow mtu

State agent
Naona Nyie Mnatamba Tu Na Jf Yenu:

MNATUKANA MATUSI MAKUBWA

Mods Hawawaoni Ila Tukiweka Sisi Hisia Zetu Ban

Mods Kuweni Na Akili Kidogo Kama Matusi Mnaruhusu Tuambieni

Nimejitahid Sana Kuwaita Kistaarabu Ila Nilitaka Niwatukane Pia Maana Mnachagua Sana Adhabu Humu Ndani.

Mhariri Moderator
 
kanankembe

Member
Joined
Nov 4, 2019
Messages
43
Points
125

kanankembe

Member
Joined Nov 4, 2019
43 125
Usimlinganishe kabudi mbobezi wa sheria na huyo galasa karari hajui lolote ni mbwatukaji kama kina tungu na zito watoto wa nyumba ndogoState agent
Umeonesha kuwa na wewe ni mtoto kilaza wa nyumba ndogo. Hao uliowataja wamekujaje kwenye kujibu swali alilouliza Gentamycine? Jibu swali lililoulizwa.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
81,306
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
81,306 2,000
Mkuu kama wewe ni mfuatiliaji wa huyo mtu wacha kupoteza nguvu zako kubishana naye maana ni sawa na kishada tu cha ccm
Umeonesha kuwa na wewe ni mtoto kilaza wa nyumba ndogo. Hao uliowataja wamekujaje kwenye kujibu swali alilouliza Gentamycine? Jibu swali lililoulizwa.
 
THE BREED

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Messages
660
Points
1,000

THE BREED

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2019
660 1,000
Ndugu yangu Karemera rwigyema mazimpaka!usifananishe uprofesa wa kukariri wa kabudi na akili kubwa za marara!!Elimu yetu watz imeprove failure sana!ndo mana mwenye Phd anatuongoza hapa TZ kama hajasoma vile!!!!!Elimu za mizuka hz full ukatuni na vituko!!!!!lyarugo luzindwa!!!
 
Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,536
Points
2,000

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,536 2,000
Balozi kuja lazima alete taarifa ,kama unajua kazi ya balozi ni kukusanya taarifa na hapa ameleta taarifa wapi pa kuanzia au ulitaka waende tu mahakamani bila taarifa ni vita hii tena kubwa ya kiuchumi inahitaji intelligence ya uhakika

State agent
Kwani Wajibu wa Balozi wa nchi nyingine ni kuijasusia nchi yako? Huwezi ukawa serious!! Halafu unajua kuwa hayo ni mambo ya kimahakama ambayo serikali haipaswi kuyaingilia na zaidi kwa utamaduni wa wenzetu katika utoaji haki wala si sehemu ya kuogofya kama huku kwetu.
Acheni kumsumbua mkulima wa watu anahangaika na jembe lake hadi canada , mlipeni.
 
Forum statistics

Threads 1,382,054
Members 526,258
Posts 33,818,536
Top