kati ya hawa viongozi pendekeza nani ashike uraisi 2015;

vizuri Mupirocin kama Kardinali litkuwa chaguo atapata fursa yakuhudumia wengi zaidi ngoja tupate maoni zaidi.
Si ajabu na Kardinali ukaona maoni yake.
 
Asha migiro,anna tibaijuka,benard membe,edward lowasa,zitto kabwe,samwel sita,mwakyembe,john magufuli,mr.ii,wema sepetu,leordiga tenga,reginald mengi,issa simba,kardinal pengo,anthony lusekelo,agostino mrema.

majina uliyoweka yamekaa kinafiki na hujafikiria kwa kina kabla ya kuyaweka hapa mfano Pengo kutokana na sheria za Kiromani haruhusiwi kuingia ktk siasa angali ashajitoa kwaajili ya kumtumikia Mungu. Tangu lini ukamsikia padri, askofu au kadinali amekuwa mbunge au rais ktk nchi yeyote duniani? Acha kukurupuka fikiri kabla ya kuweka uzi humu jamvini
 
Asha migiro,anna tibaijuka,benard membe,edward lowasa,zitto kabwe,samwel sita,mwakyembe,john magufuli,mr.ii,wema sepetu,leordiga tenga,reginald mengi,issa simba,kardinal pengo,anthony lusekelo,agostino mrema.

Afadhali kuchakaa nguo kuliko akili.
 
ivi hapo slaa yupo au kama hayupo hakuna bado kaka labda masanja na yeye yuko au hayupo:alien:
 
Asha migiro,anna tibaijuka,benard membe,edward lowasa,zitto kabwe,samwel sita,mwakyembe,john magufuli,mr.ii,wema sepetu,leordiga tenga,reginald mengi,issa simba,kardinal pengo,anthony lusekelo,agostino mrema.

Tuna matatizo mengi sana ya kujadiliana hapa nchini mwetu Tanzania,raisi Kama maraisi wameshatangulia wengi ni kipi kimebadilika?Raisi!!!!!!dhaifu!!!!raisi,bado sana
 
Wema Sepetu. Ana sura ya kuvutia na anafaa kuwa rais wa kwanza wa kike Tanzania.

huyu anaweza akavunja record ya mweshimiwa DHAIFU kwa kusafiri(313)........ukiacha ile ya kuandikwa andikwa kwenye magazeti.....
 
..Lets try "Dr." Wema Sepetu.

..I know it sounds crazy, but I have a feeling she might do better than "Dr".Jakaya Kikwete.
 
Back
Top Bottom