Kati ya hao wasanii wawili ni yupi unamkubali zaidi

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
a31d480a86008735a22d37c88b7816cb.jpg
 
A- anafanya kazi ya kupeleka watu kuzimu na kuvuruga maadili;

B- kwa kazi aliyofanya kwa vazi alilovaa pichani imeokoa roho za watu!

Kwanini mnashabikia vitu vinavyopoteza badala ya kuokoa?
 
Lakini shida ya huyo msanii B nasikia ni chambo sana.

Hizi lugha mnatuacha sie tuliokula chumvi mkuu. Hilo neno chambo ni msamiati mpya ama...?

Na limetumika kama nini hapo una maana analiwa si ndio...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom