Kati ya hao wasanii wawili ni yupi unamkubali zaidi

Maana yake ni nini mkuu...?
Chambo katika uvuvi tunatumia ili kuhadaa samaki Chambo wala hakina kosa kwa hilo, huyu katumika ili kuhadaa watu kuwa Yesu afanana na hivyo, yemwenyewe wala hana time na hilo ila waliodhamiria na kupanga hilo, tena jamaa mtu wa tungi tu.
 
Ooh okay. Basi sawa mkuu.

Ila wajinga ni wale wanaomfata bila shaka. Na hata uwaambiaje hawaelewi coz kuna upofu kwenye nyoyo zao.

Na ndio maana hata alipo watahadharisha kuwa watakuja manabii wa uongo, hakuna aliyeona mpaka sasa watu wapo kwenye upofu.

MUNGU AZIDI KUWAPOFUA.

AMEN.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom