Kati ya gari hizi nichukue ipi?

Mkuu unabisha nini hapo?

Vanguard nimeipata hii beforward mfano ya 2011.

View attachment 2230656

Na ushuru wa TRA hapa:

View attachment 2230657

Kwahiyo Mil 35 hivi unapata.

Haya tuje kwa Harrier kumbuka hiyo kwenye pic ni 3rd generation sio tako la sokwe.

Beforward nimeipata ya bei ndogo kabisa hii hapa:

View attachment 2230658


Tuje ushuru wa TRA:

View attachment 2230659
Kwahiyo jumla kama Mil 70 hivi.

Njoo na wewe uni prove wrong.
This level of analysis uliohangaika kumpa ni next level.

Ingekuwa mimi ningejikausha tu.

Hiyo Harrier tena imeshuka bei, mwaka juzi na jana zilikuwa zinagonga mpaka 85M.

Wakati 40M unapata Vanguard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom