Kati ya Ezekia Dibogo Wenje na John pambalu nani anatufaa twende nae watu Mwanza Nyamagana

busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,712
2,575
Makamanda wa Mwanza Nyamagana na walio nje ya Mwanza mapambano yanaanza sasa.

Wakazi wa Mwanza tunamkumbuka Wenje jinsi alivyoipambania wilaya ya Nyamagana ndani na nje ya bunge kwa watu wa kada zote mpaka kutishiwa.

alikadhalika pia kwa kijana shupavu na makini John Pambalu alionyesha weredi mkubwa wa kutumikia jamii kwenye kata yake ya Mkuyuni kiasi mpaka kupewa jukumu kubwa la kugombea ubunge wa wilaya ya Nyamagana.

Naomba kuwasilisha.
 
E.wenje namuona bado yupo shupavu zaidi, kipindi cha uchafuzi wa ccm familia yake iliumizwa sana

Nakumbuka alifungua kesi mahakamani ya juu ya icc sijui iliishia wp
 
Makamanda wa Mwanza Nyamagana na walio nje ya Mwanza mapambano yanaanza sasa.
Wakazi wa Mwanza tunamkumbuka Wenje jinsi alivyoipambania wilaya ya Nyamagana ndani na nje ya bunge kwa watu wa kada zote mpaka kutishiwa.
alikadhalika pia kwa kijana shupavu na makini John Pambalu alionyesha weredi mkubwa wa kutumikia jamii kwenye kata yake ya Mkuyuni kiasi mpaka kupewa jukumu kubwa la kugombea ubunge wa wilaya ya Nyamagana.
Naomba kuwasilisha.
kwenda zako kule, rais msukuma wa ccm alipokuwa madarakani mwanza mliichagua ccm. Huo ni ukabila wa kipumbavu na kishamba. Kama mlivoichagua ccm endeleeni nayo hivohivo, msituletee uhuni wa kisukuma.
 
Kwa hiyo hao wasukuma CHADEMA hamhitaji kura zao? Hiyo mwanza hujui wasukuma kuwa wanaushawishi! Nyinyi ndo wale mtaahira wa Chadema mnaojidanganya kuwachukia wasukuma wakati mnahitaji madaraka! Kwa taarifa yako kanda ya ziwa ndo ina watu wengi na inaamua matokeo ya urais!
 
Back
Top Bottom