Kati ya CUF na CHADEMA nani ndio popo halisi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya CUF na CHADEMA nani ndio popo halisi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eliesikia, Feb 3, 2011.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  CUF wanasema wao sio chama tawala bali wamesikiliza sauti ya wanzanzibari kuwa wao CUF na CCM washirikiane huku wakiviacha vyama vingine pembeni... Wao wanaamini siku zote watakuwa juu kama ilivyotokea mwaka 1995 ambapo CUF waliunda kambi rasmi bungeni na kuwaacha NCCR(wabunge 28) nje huku wakijitapa kila mahali kuwa mtaji wao pemba ni mkubwa hakuna atakaeweza mziki wake...

  Miaka 15 imepita sasa CUF kiko hoi bin taabani wanakumbuka shuka!! Kila siku wanadai CHADEMA hawawaungi mkono lakini wao watueleze ni jimbo gani wao waliwaunga mkono...!! Mwaka 2000 CHADEMA waliwaunga CUF mkono, mwaka 2010 wakamuunga mkono Maalim Zanzibar huku bara CUF walikataa kumuunga mkono Slaa... Kule Tarime 2010 tumeona walichofanya, Ubungo pia, Segerea tumeona pia.. Nani ni popo wa kweli jamani??

  USHAURI WANGU
  Waamue kweli kuwaonganisha wanzanzibari kwa kushirikisha vyama vyote pale zanzibari ili iwe kweli umoja kama KENYA na si vinginevyo!!
  Pili wakishafanya hivyo CHADEMA nao watakosa kisingizio maana nao watakuwa sehemu ya serikali... Hivi unajua KENYA hakuna chama pinzani ndio maana wao wametulia kimya..
   
 2. Marunde

  Marunde JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Mkuu hapo popo ni CUF wao wenyewe zanzibar hawajavishirikisha vyama vingine huku bara wanataka washirikishe ''washindwe na walegee''
   
 3. M

  Mwera JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata waungane wapinzani wote je idadi yao itawasaidia nini dhidi ya ccm bungeni?tumechoka nahuu mjadala wawapinzani kuungana ama kutoungana haiwasaidii chochote,ccm itafany a itakavyo bungeni mukiungana au musiungane haina tija yoyote.
   
 4. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Hapo umenena ngoja nisubiri wanaCUF wa humu JF wakijibu hoja ya mrengo wa kati...
   
 5. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo tatizo lilipo, kuungana ili iweje? Ni nini ambacho kitafikiwa kwa kuwa 'nguvu ya ushirikiano'? Kwani bila kuungana hwawezi kushirikiana?
   
 6. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zanzibar hakuna chama chengine cha siasa zaidi ya cuf na ccm. Kura za wagombea urais wa vyama vitano zanzibar ikiwemo chadema kwa upande wa muungano kule zanzibar hawakutimiza hata asilimia moja. Mukisema tumieni akili musiendeshwe na pombe.
   
 7. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chengine

  Mukisema

  musiendeshwe na pombe

  Habari ya Unguja Mtabe?
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  kwani katiba yao inaisema vyama vyote au chama ambacho ktakuwa na cfa ambazo wamezioanisha?dabo check halafu 2pe jibu
   
 9. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  CHADEMA ina asilimia 0.002 kwa Zanzibar kiungane na CUF yenye asilimia 49.9 hii ni akili au matope!!!!!!!
  CHADEMA chama cha Kiinjirist na Maaskofu.
   
 10. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nguzo

  Join Date : Sat Jan 2011
  Posts : 28
  Thanks 4 Thanked 6 Times in 5 Posts

  Rep Power : 0
   
 11. T

  Tata JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,732
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Simple ili wabunge wa CUF na washirika wake wapate fursa ya kuwa wenyeviti wa baadhi kamati za Bunge na wapate marupurupu ya uenyeviti.
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  popo kabisa kabisa ni HAMAD RASHID ,ila mambo ya serikali vya shirikisho yanaua demokrasia si ya kuendekeza ila tu inapolazimu.
   
 13. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko ya katiba yanataka chama ili kishirikishwe kwenye serikali ya umoja wa kitaifa kipate angalau asilimia tano ya kura za Urais Zanzibar. Ni CCM na CUF tu walifikisha mkuu.
  By the way, usiwe unapost ukitoka "kulia" unaandika ujinga! Msalimie Gwajima!
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145


  HAPO KWENYE RED: hivi unatumia vigezo gani au unajibu kama mlivyojibu mtihani wa form foru mwaka 2010 huko PEMBA?

  (hamad rashid na CUF wanapenda siasa za kikolono na kihistoria sijui mara njama za mauaji ya Hanga,KARUME, ushiriki wa Seif kumdhalilisha Abood Jumbe, SISI VIJANA HAYO HAYATUPI MORALE TUNATAKA SIASALEO sio ukungu ukungu)   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  CUF NDIO MAPOPo
   
 16. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  HATA WEWE NAWE POPO KUMBE Hujui
   
 17. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Popo ni CHADEMA. Tumeshuhudia Mbowe akimkimbilia JK - baba huyooooo, baba huyoooo, baba huyoooo.
   
 18. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kinachowatoa roho cuf ni ile bajeti ya kambi ya upinzani.

  Wanataka kuungana sasa; mbona kwenye uchaguzi wa spika na naibu wake, uchaguzi wa wabunge wa east africa na sadc wao cuf waliungana na ccm. Vilevile kwenye chaguzi za mameya katika maeneo yote cuf walipigia ccm.

  Chadema walipotoka ndani ya ukumbi wa bunge kupinga hotuba ya kikwete, cuf waliungana na ccm kuwazomea chadema, katika hili sina maana ya kuwalazimisha kuungana na chadema lakini hawakupaswa kuwazomea ni bora wangenyamaza.

  Sasa leo wanataka kuungana ili kujenga upinzani imara au wana ajenda yao ya siri.
  Kwani wakiwa nje ya kambi ya upinzani hawataruhusiwa kuingia kwenye ukumbi wa bunge? Aibu kwa cuf na hamad rashid.
   
 19. b

  boybsema Senior Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mapopo KAFU (wajeidina), wanafiki kweli kweli...wanalilia kambi isiyo rasmi bungeni ili wapate fungu...HAmad anataka propose kanuni za bunge zibadilike illi aendelee kuwa KUB. ukitazama hii kwa undani utagundua wenzetu KAFU wanatetea maslahi binafsi na siyo ya kitaifa.
  Ukiolewa lazima ufuate mila na desturi na matakwa ya mume wako.. KAFU hawawezi tuambia lolote kuhusu kutetea maslahi ya taifa zaidi ya maslahi binafsi.
  Nwasilisha
   
Loading...