Kati ya CRDB na NMB, Ni benki ipi yenye makato makubwa kama ada ya uendeshaji wa akaunti kwa mwezi?

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu, nisiwachoshe sana.
Kichwa cha uzi kama kinavyosomeka vyema kabisa hapo juu.

Ningependa kujua kati ya hizi Benki mbili yaani CRDB pamoja na NMB ni wapi wenye gharama kubwa katika makato kama ada ya uendeshaji wa akaunti kwa mwezi.

Ahsanteni na uzi tayari
 
Mimi wamenipa kadi yao Hawa crdb unanipa sana shida kwenye kuwithdraw wananiingza gharama kwenda KWA wakala mfyuuu natamani niitupe hii atm card
 
BANK CHAGES ZAO ZIKO JUU SANA. SIJUI KWANINI BOT HAWAINGILII KATI ; KWANI HIZI CHARGES HAZINA JUSTIFICATION!!!
Juzi nikasema ngoja ni chungulie bank statement yangu...Kuna makato wamekata tarehe 11/4 Sasa nakajiuliza hii tarehe kumi na moja imekuwaje...

Umeme ukatwe, crdb na kwenye we ukatwe...
 
Naona crdb wana makato makubwa sana ,kuna siku nikutumiwa pesa kutoka nchi za magharibi dola 50 ile pesa ilipofika makao Makuu ya Crdb ile pesa ilikatwa dola 30 halafu wakairudisha kwa aliyeituma akapokea dola 20 kisa at walikuta akaunt yangu iko dormant
Duuh sasa hizo 30$ walikata sababu ya nini?
 
CRDB wapuuzi sana Wana Makato ya kibwege sana,niliwahi kuwa sehemu moja tunalipa watu zaidi ya 100 kwa mwezi jamaa wanakata 3540 Kila kichwa kukiwekea fedha zake nilishangaa sana kuuliza naambiwa ndo Makato
 
Back
Top Bottom