Kati ya Chuo cha Afya Lugalo na Kibaha kipi kizuri zaidi?

Kyabashasa

Member
Nov 29, 2020
10
4
JamanI naomba ushauri Kati ya Chuo cha afya Lugalo na kibaha kipi kizuri zaidi cha kwenda make mdogo wang kapata hivyo vyote wamemuhita sasa kipi kizuri cha kwwnda?

Na je, ada zao zipo sawa ama zinatofautiana? Diploma ya Clinical Medicine? Msaada tafadhali
 
Jaman naomba ushauri Kati ya chuo cha afya lugalo na kibaha kipi kizuri zaidi cha kwenda make mdogo wang kapata hivyo vyote wamemuhita sasa kipi kizuri cha kwwnda ? Na je Ada zao zipo sawa ama zinatofautiana?diploma ya clinical medicine, msaada tafadhali
Vyote vya serikali ada zinafanana tu..m nashauri aende kibaha..mana ni chuo kikongwe..zaidi tambua c.o sahivi imekua kama ualimu tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
JamanI naomba ushauri Kati ya Chuo cha afya Lugalo na kibaha kipi kizuri zaidi cha kwenda make mdogo wang kapata hivyo vyote wamemuhita sasa kipi kizuri cha kwwnda?

Na je, ada zao zipo sawa ama zinatofautiana? Diploma ya Clinical Medicine? Msaada tafadhali
Aende kibaha
 
Kwani second selection za nacte zimetoka?
 
Back
Top Bottom