Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,471
- 6,370
Yaah nimeku elewa ila sehemu nyingi huwa ni za msimu fulani ndo panakuwa vizuri ila sehemu ninayo kueleza ni ndani ya mwaka mzima panakuwa na amshaamsha. Just imagine Ile centre ya kamsamba na kilyamatundu kila siku kuna basi sita yani tatu zinatoka Mbeya kuja pale na tatu zinatoka pale zinaenda Mbeya, just imagine the population of that centreFunga kazi ni KAPUNGA- Mbarali pale kuanzia mwez wa 12 mpaka 7 unaweza ukafikir bonge la mji maana watu wanatokaga mbeya, moro, dar, mpaka kanda ya ziwa kufanya kaz na pesa kusema ukweli inamwagikaga haswaa so kama una mtaji mzur na umetulia biashara zinatoka sana ila utulie haswaa(Nyanda za juu kusini panajulikana vizur matajiri weng n wakinga so najua ushajiongeza na umenielewa).