Kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa?

B kal

Senior Member
Nov 11, 2020
118
142
Mnaendeleaje wapendwa? Samahani naomba kufahamu kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa.

Pia ni wapi pana maendeleo zaidi ya kijamii?
 
Mkuu kuna sehemu panaitwa kilyamatundu ni bonde la ziwa Rukwa, huko kunafanyika kilimo cha mpunga kwa wingi sana, ukifika pale utashangaa uwingi wa watu waliopo pale, huduma za kijamii, biashara zinazofanyika, navokuambia wala hutojutia na hizo biashara ulizozitaja mgahawa na mitumba ndo zitakutoa sana coz wenyeji pale wanafanya kwa mazoea
 
Ahsante sana mkuu
 
Biashara ni creativity yako tu wala sio eneo, wapo ambao unakuta wako vijijini ndani ndani ila wanafanya biashara za maana kabisa, Unaweza kuwa hata Dar na bado biashara ikakushinda tu
 
Mkuu kuna sehemu panaitwa kilyamatundu ni bonde la ziwa Rukwa, huko kunafanyika kilimo cha mpunga kwa wingi sana, ukifika pale utashangaa uwingi wa watu waliopo pale, huduma za kijamii, biashara zinazofanyika, navokuambia wala hutojutia na hizo biashara ulizozitaja mgahawa na mitumba ndo zitakutoa sana coz wenyeji pale wanafanya kwa mazoea
Apande gari za wapi kama anaenda
 
Npe connection bro mi bdo mgen kwenye mitumba na mim npo MBEYA
Mkuu, kiufupi tunanunulua soweto ccm kwa juma3 mpaka jmos,lakn jpl huwa wanafungulua sido,bei ya kufunguliwa belo huwa wanaweka laki na nusu,yan hapo anafungua unachagua ww tu,lakn endapo nguo nzuri n chache it's okay,mfano unaweza funguliwa belo halafu nguo zenye unafuu zikawa za elfu70 basi utachukua za elfu70 tu,na bei ya kujumlishiwa inategemea na aina,mfn mm huwa nachukua t shirt,ambapo najumlishiwa kwa elfu3 moja,baada ya hapo n kuznyoosha na marekebsho madogo kama kupunguza,mtaani bei naanzia elf7 mwsho elf5,chache nauza elf4.5
 
Ukifika Mbeya mjini kwenye stand ya mbalizi ulizia gari zinazoenda kamsamba mpaka kilyamatundu panda humo na moja kwa moja utakuwa utakuwa umefika

It's a very beautiful place to invest in our such local businesses, I have been there for almost a year and it's a wonderful experience
Shukrani mkuu, vipi huko biashara znaenda mwaka mzima au n muda wa mavuno tu ndio kuna unafuu? Maana naskia maeneo meng ya kilimo biashara n za msimu
 
Mkuu huko kipindi cha nyumba ilikuwa ndo kipindi cha mavuno pekee ndo kunakuwa vizuri ila now days kunahappen all time ina year, kama siku moja utapata muda unaweza kwenda kufanya survey yako kama panakufaa,
 
Shukrani mkuu
 
Mkuu kuna sehemu panaitwa kilyamatundu ni bonde la ziwa Rukwa, huko kunafanyika kilimo cha mpunga kwa wingi sana, ukifika pale utashangaa uwingi wa watu waliopo pale, huduma za kijamii, biashara zinazofanyika, navokuambia wala hutojutia na hizo biashara ulizozitaja mgahawa na mitumba ndo zitakutoa sana coz wenyeji pale wanafanya kwa mazoea
Funga kazi ni KAPUNGA- Mbarali pale kuanzia mwez wa 12 mpaka 7 unaweza ukafikir bonge la mji maana watu wanatokaga mbeya, moro, dar, mpaka kanda ya ziwa kufanya kaz na pesa kusema ukweli inamwagikaga haswaa so kama una mtaji mzur na umetulia biashara zinatoka sana ila utulie haswaa(Nyanda za juu kusini panajulikana vizur matajiri weng n wakinga so najua ushajiongeza na umenielewa).
 
Back
Top Bottom