Kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa?

Hapo ndo penyewe, japokuwa pamechanganya sana ila mimi miezi miwili iliyopita pale niliacha duka moja tu la viatu vya mtumba, sandlea za kike na kiume pia ukizimwaga for serious business, tena bei zako zisiwe zile za kukata na shoka ila iwe profit yako ya kawaida ili mzigo uwe Inaisha kwa haraka coz watu wa kule ukiwapiga bei kubwa wanahisi kwasababu ni wa vijijini ndo maana unawafanya vile,

Pia biashara ya uwakala inalipa pia coz kule population huwa ni kubwa sana na hasa kuna zile minada ambayo kwa mwezi ipo mara mbili, huwa wanakuja watu kutoka sehemu mbalimbali ila wanapataga shida sana kwenye kuweka na kutoa pesa, hapo kilyamatundu ndo mnada Mkubwa Wa ng'ombe mkoa mzima wa Rukwa, pia huduma ya kuweka na kutoa pesa haifanyi vzr sana kila siku pale coz unakuta watu wawili tu ndo wapo vzr ila ukienda pale na ukafanya seriou business, pia utaongeza vocha na huduma ya kuwanunulia vifurushi coz watu wa kule wengi hawajasoma
Vp kwa mafundi wa vitu vya electronic na uuzaji wa hivyo vitu?
 
Nazungumzia hasa upande wa hili bonde la ziwa Rukwa, hii sehemu inaitwa Kilyamatundu/kamsamba

Mafundi wa vitu vya electronics kama vile Radio, subwoofer, speaker, simu Vito hi na smartphones kwa pale wapo kama wawili hivi ili sio mafundi wazuri ila ndo wanapata sana wateja coz population ni kubwa na mafundi ni wachache pia hawana vifaa vya kuuza kwa ajili ya utengenezaji wa vitu hivyo vya electronics

Pia kama fundi ukiwa unauza na vitu vya electronics kama nilivyo orodhesha hapo juu utakuwa Umetisha sana, hasa simu za smartphone pale hakuna anayeuza kwahyo watu wa eneo lile wanasafiri umbali wa masaa manne kwenda kununua simu za smartphone, bila kusahau simu za vitochi(viswaswadu) coz eneo lile watu wengi ndo wanatumia simu hizo ila jamii ile imeanza kubadilika na kuhitaji smartphone

Pia naweza kukushauri uambatanishe na vifaa vya umeme, coz eneo lile umeme ndo umeanza kuenea na kufika kwa kasi kwahyo, vifaa vya umeme vinatoka sana

Pia naweza kumshauri mtu kama anuwezo wa kufungua duka la vifaa vya ujenzi, eneo lile litakulipa sana kwani watu wameanza kujenga sana nyumba za kisasa hasa wageni ambao wanafika pale kufanya biashara na kuvutiwa na mazingira na kuhamishia makazi kabisa
 
Nashukuru sana na mungu akubariki

Mkuu Insigne vipi kuhusu oils and Lubricants zinatoka maeneo hayo ama kuna specific place unayoweza kushauri kwa biashara hiyo?

Sent from my SM-T555 using JamiiForums mobile app
 
Nazungumzia hasa upande wa hili bonde la ziwa Rukwa, hii sehemu inaitwa Kilyamatundu/kamsamba

Mafundi wa vitu vya electronics kama vile Radio, subwoofer, speaker, simu Vito hi na smartphones kwa pale wapo kama wawili hivi ili sio mafundi wazuri ila ndo wanapata sana wateja coz population ni kubwa na mafundi ni wachache pia hawana vifaa vya kuuza kwa ajili ya utengenezaji wa vitu hivyo vya electronics

Pia kama fundi ukiwa unauza na vitu vya electronics kama nilivyo orodhesha hapo juu utakuwa Umetisha sana, hasa simu za smartphone pale hakuna anayeuza kwahyo watu wa eneo lile wanasafiri umbali wa masaa manne kwenda kununua simu za smartphone, bila kusahau simu za vitochi(viswaswadu) coz eneo lile watu wengi ndo wanatumia simu hizo ila jamii ile imeanza kubadilika na kuhitaji smartphone

Pia naweza kukushauri uambatanishe na vifaa vya umeme, coz eneo lile umeme ndo umeanza kuenea na kufika kwa kasi kwahyo, vifaa vya umeme vinatoka sana

Pia naweza kumshauri mtu kama anuwezo wa kufungua duka la vifaa vya ujenzi, eneo lile litakulipa sana kwani watu wameanza kujenga sana nyumba za kisasa hasa wageni ambao wanafika pale kufanya biashara na kuvutiwa na mazingira na kuhamishia makazi kabisa
Nani financial services
 
Aisee kote mimi ni nyumban ubaruku nimeishi na chunya nimeishi uwezi kufananisha chunya na ubaruku chunya kuna hela aisee kikubwa tu ukifika usikae chunya mjini kajichimbie uko pembeni utapiga sana hela uende sehem za pembeni kama ,mbigwa,igundu,mlimanjiwa,upendo,godima,mapogoro,nyahonga,izumbi,isoko,majengo,nyatura,sangambi,mererani izo ni baadhi ya sehem utapiga sana hela maeneo yote hayo dhahabu inapatikan kuna mzunguko mkubwa sana na mchimbaji anachojali ni bidhaa sio hela watu wa mbeya huku huja ahsubuh wanafanya biashara jion wanageuka mjini
 
Ndo hivyo Mkuu ila mimi nipo Dar es Salaam ila nina access ya kila centre za nyanda hiyo zinazofanya vizuri kwenye local business
π‘΄π’Œπ’–π’– π’Œπ’˜π’‚ π’ƒπ’Šπ’‚π’”π’‰π’‚π’“π’‚ π’šπ’‚ π’Žπ’Šπ’•π’–π’Žπ’ƒπ’‚ π’π’Šπ’Œπ’Šπ’‚π’π’›π’‚ 𝒏𝒂 π’Œπ’Šπ’‚π’”π’Š 𝒄𝒉𝒂 𝒆𝒍𝒇𝒖 60 π’π’‚π’˜π’†π’›π’‚ π’π’Šπ’Œπ’‚π’„π’‰π’π’Žπ’π’Œπ’‚, π’π’‚π’”π’†π’Žπ’‚ π’‰π’Šπ’šπ’ 𝒑𝒆𝒔𝒂 𝒄𝒐𝒛 π’‰π’Šπ’šπ’ π’ƒπ’Šπ’‚π’”π’‰π’‚π’“π’‚ π’šπ’‚ π’Žπ’Šπ’•π’–π’Žπ’ƒπ’‚ π’”π’Šπ’π’‚ 𝒖𝒛𝒐𝒆𝒇𝒖 π’π’‚π’šπ’ 𝒏𝒂 π’”π’Šπ’π’‚ π’Žπ’•π’– π’˜π’‚ π’Œπ’–π’π’Šπ’π’π’ˆπ’π’›π’‚ π’π’‚π’Šπ’˜π’†π’Œπ’‚ π’‰π’Šπ’šπ’ π’Šπ’π’Š 𝒉𝒂𝒕𝒂 π’Šπ’Œπ’Šπ’•π’π’Œπ’†π’‚ π’ƒπ’‚π’‰π’‚π’•π’Š π’Žπ’ƒπ’‚π’šπ’‚ π’π’Šπ’Žπ’†π’‚π’π’ˆπ’–π’Œπ’‚ π’Šπ’”π’Šπ’π’Šπ’‘π’† 𝒔𝒕𝒓𝒆𝒔𝒔 𝒔𝒂𝒏𝒂
 
Aisee kote mimi ni nyumban ubaruku nimeishi na chunya nimeishi uwezi kufananisha chunya na ubaruku chunya kuna hela aisee kikubwa tu ukifika usikae chunya mjini kajichimbie uko pembeni utapiga sana hela uende sehem za pembeni kama ,mbigwa,igundu,mlimanjiwa,upendo,godima,mapogoro,nyahonga,izumbi,isoko,majengo,nyatura,sangambi,mererani izo ni baadhi ya sehem utapiga sana hela maeneo yote hayo dhahabu inapatikan kuna mzunguko mkubwa sana na mchimbaji anachojali ni bidhaa sio hela watu wa mbeya huku huja ahsubuh wanafanya biashara jion wanageuka mjini
Vipi biashara za bar na lodge pia population chunya mjini papoje
 
Back
Top Bottom