kati ya CDM NA CUF NANI ANADANDIA HOJA YA MWENZAKE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kati ya CDM NA CUF NANI ANADANDIA HOJA YA MWENZAKE

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by thatha, Dec 1, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ni mda sasa tunashuhudia malumbano na kashfa nzito nzito kati ya vyama viwili vya upinzani vyenye ushawishi hapa nchini.moja ya hoja ambazo vyama hivyo vimekuwa vikivutana sana kwamba mimi ndio mwenye hoja ila wewe umedandia ni hii ya katiba mpya....
  hoja nyingine ni kuhusu muundo wa serikali tatu ndani ya muungano..
  jambo lingine lililovuta hisia za jamii hasa wale wanaofuatilia masuala ya kisiasa hapa nchini ni hili la kwenda IKULU KUMWONA RAIS kuzungumzia mustakali wa katiba ya nchi.

  my take.....CUF ndio wanaoanzisha hoja zenye kuvuta hisia za jamii lakini chama hicho kinapungukiwa makada wenye mvuto na ushawishi. suala la katiba liliibuliwa na cuf lakini walishindwa kulielezea vizuri kwa wananchi.hata muundo wa serikali tatu ndani ya muungano ni hoja yao ya mda mrefu na ndio iliyompa maalim seif umaarufu.
  cdm kutokana na uwezo wa viongozi wake kushawishi pengine na mchango wa kiimani wa watu wa bara umeiwezesha cdm kuteka hoja kirahisi na kujijengea umaarufu.

  .........NINI KIFANYIKE ILI TUWE NA CHAMA IMARA CHA UPINZANI CHENYE NATIONAL IDENTIFICATION,SOLIDARITY AND UNITY KUANZIA NYUMBA KUMI HADI TAIFA KAMA CCM.
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  magwanda nao wana hoja? hoja ipi ya maana waliyonayo zaidi ya fujo, maandamano na kususa? mie sijaona hoja, tazama hata humu utwajuwa tu bila kuambiwa, jitazamie mwenyeeeeewe, iiiiiiiiiiiiiiiiii tttttttttii viiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kikundi cha taarabu bado kinahitaji experts wa mipasho, huko utafaa sana! Jaribu bahati yako.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  MashaAllah, naona umeipenda sana hiyo aya, Qur'an ina raha yake.
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Nimesema, hata dakika tano haijapita, hoja ngumu na haijbiki. Huo ndio ukweli.
   
 7. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nyie si wale wale tuu..jipya lipi sasa
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  ujumbe umefika.. na umemuingia kisawasawa ..


   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hoja yako umeiweka kishabiki yaidi
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Inaelekea cuf ni wengi ktk hao waliopost kwanh badala yajibu hoja mnapost mipasho
   
 11. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  cuf nacho ni chama cha upinzani chenye nguvu?
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hii ina uhusiano wowote na uchumi?
   
 13. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  hivi hii hoja inaleta nafuu ya bei ya unga wa sembe au dona/sukari/mchele nk, pale sokoni?
   
Loading...