Uchunguzi wangu niliofanya kwa muda tangu Zito avuliwae vyeo vyote alivyokuwa ameazimwa inaonekana CCM wana uchungu nae kuliko CDM wenyewe. Je mtu huyu alikuwa na maslahi gani na CCM hadi waumie namna hii.
Watajua kwamba cdm si nccr,cuf bali ni chama ambacho mungu amekileta ili kutimiza unabii wa kwamba kila jambo na wakati wake na lina mwisho wake sijui kwanini maccm hawataki kulikubali hili.
Uchunguzi wangu niliofanya kwa muda tangu Zito avuliwae vyeo vyote alivyokuwa ameazimwa inaonekana CCM wana uchungu nae kuliko CDM wenyewe. Je mtu huyu alikuwa na maslahi gani na CCM hadi waumie namna hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.