Kati ya ccm na chadema ni nani wenye uchungu zaidi na zito kuvuliwa vyeo vyote

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Uchunguzi wangu niliofanya kwa muda tangu Zito avuliwae vyeo vyote alivyokuwa ameazimwa inaonekana CCM wana uchungu nae kuliko CDM wenyewe. Je mtu huyu alikuwa na maslahi gani na CCM hadi waumie namna hii.
 
Watajua kwamba cdm si nccr,cuf bali ni chama ambacho mungu amekileta ili kutimiza unabii wa kwamba kila jambo na wakati wake na lina mwisho wake sijui kwanini maccm hawataki kulikubali hili.
 
Uchunguzi wangu niliofanya kwa muda tangu Zito avuliwae vyeo vyote alivyokuwa ameazimwa inaonekana CCM wana uchungu nae kuliko CDM wenyewe. Je mtu huyu alikuwa na maslahi gani na CCM hadi waumie namna hii.

Ni kweli wana uchungu sana maana ccm imemsomesha mwaka mmoja ujerumani mambo ya madini baada ya kuchaguliwa kwenye tume
 
Nimeona mpaka CCM wengine wanagonga vichwa vyao kwenye mawe wakidai ZZK hatakiwi kamwe kufukuzwa CDM
 
Ndugu mleta uzi jiulize swali dogo kwamba kati ya mpishi na anyekula mezani, ni yupi mwenye uchungu meza ikianguka na chakula kumwagika?
 
Back
Top Bottom