Kati ya ccm na cdm hii ingia toka ya wanasiasa nani kapata Asset na nani kapata Liability

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
630
502
Wadau ktk siku za hivi karibuni kumekuwa na kuingia toka ktk kubadilishana wanachama kati ya ccm na cdm. Tujadili, kimtazamo nani wanaonekana kupata political asset na nani wanaonekana kupata political liability
 
Inajulikana wazi. Viongozi wakuu kabisa wa chama wakianza kuondoka ni pengo kubwa. Unaikumbuka KANU?
 
Siasa ni itikadi,itikadi ni Imani. Kinachofanyika kwa sasa ni umalaya wa kisiasa. Wananchi tutarajie maumivu zaidi kwani mizania itafika mahali iwe sambamba.
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu; Chadema imewahi kupata kiasi fulani cha "matakataka" ila uzuri wake yakishaingia mwisho wa siku automatically yanajichuja yenyewe na kurudi yalikotoka - pahala salama pa mafisadi. Jiulize tu swali rahisi; ni rate ipi kubwa: CCM -> Chadema -> CCM au Chadema -> CCM -> Chadema? Ukipata jibu fikirisha kidogo ubongo wako jiulize why?
 
Back
Top Bottom