Kati ya c++ na java au c# ipi ni nzuri kuanzia?

tafakari kali

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
211
39
Habari ndugu nzangu wa Jamiiforums.
Bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing.
naomba kufahamishwa, hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the scruch kati ya C++,C# na JAVA ? Naomba msaada katika hili au hata kama kuna language nyingine kwa begginer kuanzia naomba nifahamishwe.

Kwa sasa nime-download kitabu cha ''c++ a begginer's guide(2[SUP]nd[/SUP] edition) sijaanza kukisoma ila ila nimepitia kidogo na nimeona jamaa amehusianisha C++ na C# na JAVA.

Mwongozo wakuu
NB; C6 nawe nakutazamia utakuwa mmoja wa watu watakaonipa mwongozo katika hili.
 
habari ndugu nzangu wa jamii f.
bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing.
naomba kufahamishwa ,hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the scruch kati ya C++,C# na JAVA ? naomba msaada kaika hili au hata kama kuna language nyingine kwa begginer kuanzia naomba nifahamishwe .

kwa sasa nime-download kitabu cha ''c++ a begginer's guide(2[SUP]nd[/SUP] edition) sijaanza kukisoma ila ila nimepitia kidogo na nimeona jamaa amehusianisha C++ na C# na JAVA.

mwongozo wakuu
NB ; C6 nawe nakutazamia utakuwa mmoja wa watu watakaonipa mwongozo katika hili.

youtube to itunes converter

Nilipoanza kujifunza programming nliulizwa unataka kujifunza programming ili iweje (hapa namaanisha lengo lako katika hiyo programming language husika)? Haikuishia hapo nlipokua najifunza design dr alituambia kabla huja design hakikisha unajua tatizo husika kwa undani!!!

Programming languages zina madhumuni tofauti tofauti mfano web programming na hizi za c,java,python,PASCAL etc zina serve purpose tofauti kila moja!!! Sasa ni juu yako ujue unataka kujifunza ili ufanye nini!!!

Kwa kukushauri ningekushauri uanze na hizi za web (languages) kama HTML, css, javascript then PHP kiasi flani ni rahisi kujifunza na hizi zitakupa base nzuri utakapotaka anza hizi c..c++..etc(japo sio sheria maana unaeza anza hata na C# na ukaenda vizuri tu)..

Kama wewe ndio unaanza nakushauri usiwe mtu wa kukata tamaa, hapa naongelea experience yangu maana utafika mahali utaona mambo magumu na utaona what for then unaamua kutoendelea...

Programming ni tamu kama una nia na malengo...karibu sana katika coding life...na hongera kwa kuwa na wazo hili!!! ngoja tuwangojee wengine na wazoefu zaid watuletee ujuzi zaidi....
 
Nilipoanza kujifunza programming nliulizwa unataka kujifunza programming ili iweje (hapa namaanisha lengo lako katika hiyo programming language husika)? Haikuishia hapo nlipokua najifunza design dr alituambia kabla huja design hakikisha unajua tatizo husika kwa undani!!!

Programming languages zina madhumuni tofauti tofauti mfano web programming na hizi za c,java,python,PASCAL etc zina serve purpose tofauti kila moja!!! Sasa ni juu yako ujue unataka kujifunza ili ufanye nini!!!

Kwa kukushauri ningekushauri uanze na hizi za web programming(languages) kama HTML, css, javascript then PHP kiasi flani ni rahisi kujifunza na hizi zitakupa base nzuri utakapotaka anza hizi c..c++..etc(japo sio sheria maana unaeza anza hata na C# na ukaenda vizuri tu)..

Kama wewe ndio unaanza nakushauri usiwe mtu wa kukata tamaa, hapa naongelea experience yangu maana utafika mahali utaona mambo magumu na utaona what for then unaamua kutoendelea...

Programming ni tamu kama una nia na malengo...karibu sana katika coding life...na hongera kwa kuwa na wazo hili!!! ngoja tuwangojee wengine na wazoefu zaid watuletee ujuzi zaidi....

Asante sana LORDVILLE kwa ushauri wako mzuri, nataka kujua hii kitu ili baadae sana baada ya ku-master hii kitu, nijifunze mambo ya security na networking. Kuna mtu aliniambia kujua hivyo vitu ni vizuri nikaanza na programing.
 
habari ndugu nzangu wa jamii f.
bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing.
naomba kufahamishwa ,hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the scruch kati ya C++,C# na JAVA ? naomba msaada kaika hili au hata kama kuna language nyingine kwa begginer kuanzia naomba nifahamishwe .

kwa sasa nime-download kitabu cha ''c++ a begginer's guide(2[SUP]nd[/SUP] edition) sijaanza kukisoma ila ila nimepitia kidogo na nimeona jamaa amehusianisha C++ na C# na JAVA.

mwongozo wakuu
NB ; C6 nawe nakutazamia utakuwa mmoja wa watu watakaonipa mwongozo katika hili.

If you are to chose from only those 3 I would suggest C++ for the following reasons:
  • C++ will teach you better programming practices than the other two
  • C++ is comparatively faster than java and C#(though you may not notice because computers today cram a lot of power)
  • You are more likely to use C++ for application development than java and C#
  • Portable, C# is more microsoft-centric

Kuna many other reasons to keep into account to and of course java and C# have their own advantages but from the 3 C++ will help you learn programming better than the other two.

And unlike mkuu hapo juu I do not recommend web programming(It is even debatable kama ni programming, but that holly war is for another day) kama you have to start somewhere else then python or ruby is my recommendation for getting the concepts of programming
 
C++ is the worst choice for getting started.
Fanya Java au C#, personally ningekushauri C# kwa sababu ya urahisi wa kutenegeneza GUI programs kwenye Visual Studio, plus Java na C# zinafanana sana syntactically, so ukijifunza moja nyingine ni rahisi sana.
Pia Java na C# unaweza kutengenezea desktop, web na mobile.
 
if you are to chose from only those 3 I would suggest C++ for the following reasons:
  • C++ will teach you better programming practices than the other two
  • C++ is comparatively faster than java and C#(though you may not notice because computers today cram a lot of power)
  • You are more likely to use C++ for application development than java and C#
  • Portable, C# is more microsoft-centric

Kuna many other reasons to keep into account to and of course java and C# have their own advantages but from the 3 C++ will help you learn programming better than the other two.

And unlike mkuu hapo juu I do not recommend web programming(It is even debatable kama ni programming, but that holly war is for another day) kama you have to start somewhere else then python or ruby is my recommendation for getting the concepts of programming

Asante mkuu, kuna member hapa kanishauri nianze na html sasa kama kuna language nyingine ambayo ni rahisi zaidi kwa kuanzia ambayo itanipa foundation nzuri naomba unitajie mkuu.
Asante kwa muda wako mkuu
 
C# hii iko bomba. Kabla mie sijaifaham hii .Net niliiona iko njema tu.
 
Asante mkuu,kuna member hapa kanishauri nianze na html sasa kama kuna language nyingine ambayo ni rahisi zaidi kwa kuanzia ambayo itanipa foundation nzuri naomba unitajie mkuu.
Asante kwa muda wako mkuu

HTML is not a programming language, and knowing it will not help you when you move to other languages... I highly recommend python ni rahisi na powerful and will help you more as you learn programming
 
C++ is the worst choice for getting started.
Fanya Java au C#, personally ningekushauri C# kwa sababu ya urahisi wa kutenegeneza GUI programs kwenye Visual Studio, plus Java na C# zinafanana sana syntactically, so ukijifunza moja nyingine ni rahisi sana.
Pia Java na C# unaweza kutengenezea desktop, web na mobile.

Just because Java and C# can make fancy GUI programs the easy way doesn't make them a better choice, C# is pretty much useless in *Nix environment, and java is a mess and develops considerably bad programmers than those who learn in C or C++. I think we should not trade better programming for simplicity or fanciness.
 
It makes them a better choice for learning to program, you can use Mono if you want to do c# in Linux. Java making messy programmers is just non sense.
 
Kuna uzi wa wickerman aliuweka jana nadhani utakusaidia sana mtoa mada kwa material ya c++ na c# !!
 
Last edited by a moderator:
It makes them a better choice for learning to program, you can use Mono if you want to do c# in Linux. Java making messy programmers is just non sense.

I think you should follow up more on Mono, I'll quote someone on that...

"In the non-Microsoft world, the story's a little different. If you want to program in C# for Linux, Unix, Solaris, et al., you'll probably end up using Mono. And the thing about Mono is it's open-source. Now, whatever your opinion on open-source development, one thing's certain: the future of Mono on *nix platforms is more uncertain than the future of .NET on Windows platforms. Don't get me wrong: Mono is supported by a thriving, vibrant developer community, and in all likelihood it'll be around…oh…approximating on forever.But it doesn't have the weight of the Microsoft juggernaut behind it."

Here is the thing, C# is useless unless you are a diehard windows dev, and you are likely not going to use it... You should make take a look at why "java schools" are slowly falling in ranks, and how proclaiming you are most comfortable with java it raises a flag in an interview. Java can be easy and all that, but it doesn't rule the fact kuwa ni horrible language, I'd rather have him have a strong foundation in C++. Just tell me one thing written in java that can really really impress....

I repeat, do not trade good programming practice and skills for simplicity.
 
I personally recommend c++, ukiweza hyo hizi nyengine mfano java will be really easy to learn, C++ is awesome
 
Mimi nadhani c++ ndo nzuri kuanza nayo mm mwenyew chuo nilianza na c++ ndo nikapigi java na zingine zikafuata , maan programming ni utaratibu na siri ya umakini inayotakiwa kufuatwa, uzuri wa programming language zinamfanano kidogo, jitahiti sana maan bila programming issue za security hutaweza, then ukiwa na idea ya programming unaweza kufanya kitu Cha hatari, ukiwa mtaalamu wa IT bila programming utanyanyasika sn, hutakuwa na mautundu
 
HTML is not a programming language, and knowing it will not help you when you move to other languages... I highly recommend python ni rahisi na powerful and will help you more as you learn programming

Shukran mkuu nimekupata
 
mm nadhani c++ ndo nzuri kuanza nayo mm mwenyew chuo nilianza na c++ ndo nikapigi java na zingine zikafuata , maan programming ni utaratibu na siri ya umakini inayotakiwa kufuatwa, uzuri wa programming language zinamfanano kidogo, jitahiti sana maan bila programming issue za security hutaweza, then ukiwa na idea ya programming unaweza kufanya kitu Cha hatari, ukiwa mtaalamu wa IT bila programming utanyanyasika sn, hutakuwa na mautundu

Da asante sana, umenipa mori mkuu
 
Back
Top Bottom