tafakari kali
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 211
- 39
Habari ndugu nzangu wa Jamiiforums.
Bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing.
naomba kufahamishwa, hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the scruch kati ya C++,C# na JAVA ? Naomba msaada katika hili au hata kama kuna language nyingine kwa begginer kuanzia naomba nifahamishwe.
Kwa sasa nime-download kitabu cha ''c++ a begginer's guide(2[SUP]nd[/SUP] edition) sijaanza kukisoma ila ila nimepitia kidogo na nimeona jamaa amehusianisha C++ na C# na JAVA.
Mwongozo wakuu
NB; C6 nawe nakutazamia utakuwa mmoja wa watu watakaonipa mwongozo katika hili.