Kati ya Arusha na Dar ni lipi jiji zuri la kuanzia maisha?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kwa mtu ambaye yupo jobless

Anataka kuanza maisha yake na biashara tu ndogo ndogo za kuuza bidhaa

Ni jiji lipi linafaa kuanzia maisha kwa mtu wa chini,

Naulizia kwa kigezo cha,,,,

Ughali wa maisha, wapi nafuu??

Vyumba vya kupanga au nyumba ni wapi vyumba vya kupanga ni bei nafuu kati ya arusha na dar?

Vyumba vya bei kuanzia elfu 20,25,30,35 na mwisho 40. Visizidi arobaini? Kati ya arusha na dar?
 
Arusha inafaa.
Maana Arusha hela inapatikana nje nje, Hela zinapatikana sana Arusha, tena hela kubwa kubwa.
ila hata matumizi ya pesa Arusha ni Ghali sana. Yako juu vibaya sana.
 
Kwa mtazamo wangu bora Dar
Arusha maisha ghali sana,kule kuzuri kuishi kama umeajiliwa,na una mshahara mnono

Ila Dar mchanganyiko ukitaka maeneo ya tabaka la juu yapo kodi 50....
La kati lipo kodi 40.....
La mwisho pia lipo kodi 20....Mf mbagala,buguruni,buza, tabata,segerea n.k yapo mengi sana
 
Arusha inafaa.
Maana Arusha hela inapatikana nje nje, Hela zinapatikana sana Arusha, tena hela kubwa kubwa.
ila hata matumizi ya pesa Arusha ni Ghali sana. Yako juu vibaya sana.
Hela zinapatkana wapi arusha nifunge safari
 
Kwa mtu ambaye yupo jobless

Anataka kuanza maisha yake na biashara tu ndogo ndogo za kuuza bidhaa

Ni jiji lipi linafaa kuanzia maisha kwa mtu wa chini,

Naulizia kwa kigezo cha,,,,

Ughali wa maisha, wapi nafuu??

Vyumba vya kupanga au nyumba ni wapi vyumba vya kupanga ni bei nafuu kati ya arusha na dar?

Vyumba vya bei kuanzia elfu 20,25,30,35 na mwisho 40. Visizidi arobaini? Kati ya arusha na dar?
Wewe ni me au ke??

Kama ni Me inabidi uwe chalii kwanza ndo uishii Arusha.
Kama ni Ke, Unaweza ishi sehemu yoyote duniani
 
Back
Top Bottom