cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,072
- 1,697
hv nani alikunong'oneza ? maana kama aliyekwambia ww kanambia na mimi vileKama mnavyojua Raisi alieko madarakani akishampendekeza waziri mkuu jina linapelekwa bungeni na spika wa bunge ndio anangaza.
Kutokana na hali iliojitokeza ya spika kujiuzulu nafasi endapo waziri mkuu angeteuliwa kulikuwa hamna wa kutangaza hivyo naomba nimwambie kuwa kaachwa kiporo spika akishapatikana nae shughuli inaendelea.
Huu ni utabiri wangu naomba msinipige mawe. Usiku mwemeni.