Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 343
- 1,006
Wakuu habari.
Katika wilaya ya Kilolo kuna habari zimetolewa kwamba ni marufuku kula kitimoto.
Mimi kama mfugaji mdogo wa Nguruwe hili katazo limeniathiri sana(wakuu sanaa). Naomba kujua kama kuna maeneo mengine kuna katazo kama hili na ni kwanini?
Karibuni.
Serious case.
===
Wakuu nini hakijaeleweka hapa?
Mbona mnaleta stori zisizohusiana na maada?