awamu hii busara ipo mifukoniHapa inahitajika busara!!
Hata huyo WAKO wa 2020 hawezi kukuruhusu ue unavunja Sheria.Ni uonevu tu kwani hawakufanya tathimini tangu zinaanza kuingizwa?
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
Kuna vitu vingine vikipigwa marufuku collateral damage lazima zitokeeawamu hii busara ipo mifukoni
kabisa mkuu na haiepukikiKuna vitu vingine vikipigwa marufuku collateral damage lazima zitokee
Kuingiza taa si kinyume na sheria,tatizo hapa ni matumizi yake barabarani ndiyo yanayovunja sheria.Hizo spotlights zina matumizi yake mahususi ila watu wengi wamekua wakizitumia kinyume cha Sheria na hivyo ndiyo vinavyokatazwa.
Naomba unioneshe jinsi ya kuweka hayo maneno chini usirudie kosa2020 kwenye watsap na sms za kawaidaNi uonevu tu kwani hawakufanya tathimini tangu zinaanza kuingizwa?
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
mmmh huko hata mimi watsap bado sijajua ila naamini wapo watakao tusaidia....Naomba unioneshe jinsi ya kuweka hayo maneno chini usirudie kosa2020 kwenye watsap na sms za kawaida
hata kama atakua mjinga hawezi kufikia kufikia huyu anayesubiri akutoze kodi wakati unaingiza halafu kabla hujauza anasema unavunja sheriaHata huyo WAKO wa 2020 hawezi kukuruhusu ue unavunja Sheria.
Kwenye External business environment kuna item inazungumzia political & legal stability issues. Kama maamuzi ni ya mikulupuko inakuwa threat kwa wafanyabiashara aka investors' decisions towards investing in that particular country.
Habari zenu wakuu,
Habari kubwa ni hii yakuziondoa taa zenye mwanga mkali kwenye magari yetu. Sasa shida yangu kuziondoa sio tatizo ila shida yangu ni tulioziingiza kwaajili ya biashara! Inakuaje sasa hapo ndo imekula kwetu?
mliongiza imekula kwenye nashagazwa kweli kodi wamechukua ya hizo uremb wametuacha tukaweka na sasa wanachukua kodi tena tulio weka urembo kwa kweli Mungu anawaona na huu utapeli