Katavi hawana hata zahanati

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Wanawake wanaoishi kandokando ya ziwa Tanganyika mpakani na Zambia wanalazimika kuweka maisha yao rehani ili kutafuta huduma za uzazi Zambia kwa kuvuka ziwa Tanganyika.

Wananchi wa vijiji hivyo wamesema toka uhuru hawajawahi kuwa na kituo cha zahani hivyo wamekua wakipata shida sana linapo kuja swala la uzazi.

Source : BBC Swahili
 
Ningekuwa Mimi Ningehairisha ujenzi wa daraja la Salenda/Oysterbay ambalo hadi kesho sijaona Economic value yake(niko tayari kuelimishwa), na Kutimiza ahadi yangu ya zahanati kila kijiji nikianzia huko ambako hawajwahi kuonja hii keki ya taifa vzr. Taifa likiwa na watu wengi wazima wenye afya tutapata kodi nyingi na Hayo madaraja Tutajenga hata kama ni Golden Gate.
 
Hilo daraja linajengwa na so called wahisani. Sio kwa pesa za tz.
 
Okay, Wahisani wanajua sisi ni masikini. Priority ya project wanajichagulaia wao au wahitaji sisi hatuna mapendekezo na priority kabla muhisani ajaatupa muongozo.
Msaada kidogo
 
Katavi hawana hata zahanati
Wanawake wanaoishi kandokando ya ziwa Tanganyika mpakani na Zambia wanalazimika kuweka maisha yao rehani ili kutafuta huduma za uzazi Zambia kwa kuvuka ziwa Tanganyika.

Mleta mada ni muongo. Hakuna eneo lolote ambalo mkoa wa Katavi unapakana na nchi ya Zambia.

tanzania-political-map.jpg
 
Back
Top Bottom