Katavi hawana hata zahanati


Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
6,291
Likes
5,409
Points
280
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
6,291 5,409 280
Wanawake wanaoishi kandokando ya ziwa Tanganyika mpakani na Zambia wanalazimika kuweka maisha yao rehani ili kutafuta huduma za uzazi Zambia kwa kuvuka ziwa Tanganyika.

Wananchi wa vijiji hivyo wamesema toka uhuru hawajawahi kuwa na kituo cha zahani hivyo wamekua wakipata shida sana linapo kuja swala la uzazi.

Source : BBC Swahili
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,922
Likes
25,928
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,922 25,928 280
Waambie tunawaletea bombadia,wakiona watapona tu
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,947
Likes
14,550
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,947 14,550 280
Ningekuwa Mimi Ningehairisha ujenzi wa daraja la Salenda/Oysterbay ambalo hadi kesho sijaona Economic value yake(niko tayari kuelimishwa), na Kutimiza ahadi yangu ya zahanati kila kijiji nikianzia huko ambako hawajwahi kuonja hii keki ya taifa vzr. Taifa likiwa na watu wengi wazima wenye afya tutapata kodi nyingi na Hayo madaraja Tutajenga hata kama ni Golden Gate.
 
Uzalendo Installer

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2014
Messages
2,256
Likes
1,815
Points
280
Uzalendo Installer

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2014
2,256 1,815 280
Kwan pinda c alkuwa anatokea uko katavi
 
Mibas

Mibas

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
2,532
Likes
2,809
Points
280
Mibas

Mibas

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
2,532 2,809 280
Ningekuwa Mimi Ningehairisha ujenzi wa daraja la Salenda/Oysterbay ambalo hadi kesho sijaona Economic value yake(niko tayari kuelimishwa), na Kutimiza ahadi yangu ya zahanati kila kijiji nikianzia huko ambako hawajwahi kuonja hii keki ya taifa vzr. Taifa likiwa na watu wengi wazima wenye afya tutapata kodi nyingi na Hayo madaraja Tutajenga hata kama ni Golden Gate.
Hilo daraja linajengwa na so called wahisani. Sio kwa pesa za tz.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,615
Likes
6,130
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,615 6,130 280
Unabisha nini? Vijiji vya kando kando ya ziwa Tanganyika hulazimika kupata matibabu ya mitishamba
 
K

kahupwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Messages
290
Likes
133
Points
60
K

kahupwe

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2016
290 133 60
Tunakopa za kujenga madaraja lkn siyo za kujenga Zahanati.
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,947
Likes
14,550
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,947 14,550 280
Hilo daraja linajengwa na so called wahisani. Sio kwa pesa za tz.
Okay, Wahisani wanajua sisi ni masikini. Priority ya project wanajichagulaia wao au wahitaji sisi hatuna mapendekezo na priority kabla muhisani ajaatupa muongozo.
Msaada kidogo
 
M

Mseti athuman

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
201
Likes
142
Points
60
Age
26
M

Mseti athuman

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
201 142 60
hatuajiri madaktarii wametosha zahanati zipo za kutosha pia
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,592
Likes
4,009
Points
280
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,592 4,009 280
Katavi hawana hata zahanati
Wanawake wanaoishi kandokando ya ziwa Tanganyika mpakani na Zambia wanalazimika kuweka maisha yao rehani ili kutafuta huduma za uzazi Zambia kwa kuvuka ziwa Tanganyika.

Mleta mada ni muongo. Hakuna eneo lolote ambalo mkoa wa Katavi unapakana na nchi ya Zambia.tanzania-political-map-jpg.442166
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,947
Likes
14,550
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,947 14,550 280
Mleta mada ni muongo. Hakuna eneo lolote ambalo mkoa wa Katavi unapakana na nchi ya Zambia.View attachment 442166
labda hajui totauti ya katavi na Rukwa. Elimu ya zamani Ramani ya tanzania ilikuwa ni kitu cha kwanza kabla ya kuanza kumeza kitu chochote shule ya msingi
 
K

Kasililwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
239
Likes
23
Points
35
K

Kasililwa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
239 23 35
Siyo Katavi ni Kalambo Rukwa
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,049