Katavi: Aliyejenga madirisha katika kituo cha Afya cha Katumba ayavunja baada ya Halmashauri kutomlipa

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,438
3,333
Mkandarasi aliyefahamika kwa jina la Boniface Exavery, ambaye alitengeneza madirisha ya Almunium na katika Kituo cha Afya cha Katumba, Halmashauri ya Nsimbo ya mkoani Katavi, ameyavunja madirisha hayo, kwa kile alichokidai kutokamilishiwa malipo yake na ofisi ya Halmashauri huku akiwaameshamaliza kazi.

Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera, amedai mradi huo ulikuwa umekiuka taratibu mbalimbali za kisheria, ikiwemo upatikanaji wa tenda hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, mwenyewe ameeleza kushtushwa na hatua ya Mkandarasi huyo, na kueleza taarifa za awali walizipata kutoka kwa wananchi, na kulitaka Jeshi la Polisi kumshikiria Mkandarasi huyo, huku akikiri Halmashauri kutomlipa malipo yake.

Mmoja wa Wakandarasi ambaye anajulikana kama Bulaya Mushi, ambaye na yeye anaidai Halmashauri hiyo kwenye mradi huo wa Kituo cha Afya, amemuomba Mkuu wa Mkoa kuangalia madai yao ili waweze kulipwa na Halmashauri hiyo.
 
Duuhhh!!!
Noma sana.
 
KUVUNJA ni neno lenye mshiko kwa lengo lako, bahati mbaya hakufanya hivyo aliyachomoa akaacha fremu, madirisha ya aluminiamu mtu yeyote anaweza akayachomoa kwani hupachikwa baada ya kufunga fremu. Tukio ulisemalo lilioneshwa kwenye luninga na hakuna kilichovunjwa japo siku hizi watanzania wengi hufurahia kuwaingiza matatizoni wenzao kwa kukuza mambo.
 
Naliomba jeshi la polisi limshikilie Mkurugenzi wa Halmashauri kwa nini halipi madeni, ama hata kupatana na wakandarasi nn kinafuata. Mm kudai changu hamnipi, eti kamateni, lipa changu nisepe, ama nang'oa mtu meno kama cyo madirisha.
 
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi, hawa waandishi wamekaa kichochezi sana! Alipwe stahiki zake waache dhurma.
KUVUNJA ni neno lenye mshiko kwa lengo lako, bahati mbaya hakufanya hivyo aliyachomoa akaacha fremu, madirisha ya aluminiamu mtu yeyote anaweza akayachomoa kwani hupachikwa baada ya kufunga fremu. Tukio ulisemalo lilioneshwa kwenye luninga na hakuna kilichovunjwa japo siku hizi watanzania wengi hufurahia kuwaingiza matatizoni wenzao kwa kukuza mambo.
 
Kajenga kwa gharama zake

Nyie Halmashauri mmekataa kumlipa kwa kuwa taratibu za Tender hazikufuatwa

Kaamua kwenda kuchukua vitu alivyojenga ili mtafute mtu wenu kwa taratibu ajenge,

Halmashauri zingine ni matapeli, wanakupa tender ukishakamilisha wanaanza kutafuta visingizio

Kama kabomoa alichojenga kwa kuwa taratibu za zabuni zilikiukwa kwanini tukasirike?

Tabia ya dhulma inazidi kuota mizizi nchini
 
Naungana na huyo fundi halmashauri nyingi huwa haziwalipi kwa wakati wakandarasi na wazabuni.

Zingine kutokuwalipa kabisa kibaya zaidi watendaji wa halmashauri hubadilika badilika na kila anayeletwa anatakiwa apewe mgao kidogo ndiyo wakulipe.

Watu wameishiwa uvumilivu kusubiria malipo kwa miaka kadhaa nikuwasababishia umaskini wakandarasi wetu hata ningelikuwa mimi ningeyang'oa tu
Mkandarasi aliyefahamika kwa jina la Boniface Exavery, ambaye alitengeneza madirisha ya Almunium na katika Kituo cha Afya cha Katumba, Halmashauri ya Nsimbo ya mkoani Katavi, ameyavunja madirisha hayo, kwa kile alichokidai kutokamilishiwa malipo yake na ofisi ya Halmashauri huku akiwaameshamaliza kazi.

Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera, amedai mradi huo ulikuwa umekiuka taratibu mbalimbali za kisheria, ikiwemo upatikanaji wa tenda hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, mwenyewe ameeleza kushtushwa na hatua ya Mkandarasi huyo, na kueleza taarifa za awali walizipata kutoka kwa wananchi, na kulitaka Jeshi la Polisi kumshikiria Mkandarasi huyo, huku akikiri Halmashauri kutomlipa malipo yake.

Mmoja wa Wakandarasi ambaye anajulikana kama Bulaya Mushi, ambaye na yeye anaidai Halmashauri hiyo kwenye mradi huo wa Kituo cha Afya, amemuomba Mkuu wa Mkoa kuangalia madai yao ili waweze kulipwa na Halmashauri hiyo.
 
KUVUNJA ni neno lenye mshiko kwa lengo lako, bahati mbaya hakufanya hivyo aliyachomoa akaacha fremu, madirisha ya aluminiamu mtu yeyote anaweza akayachomoa kwani hupachikwa baada ya kufunga fremu. Tukio ulisemalo lilioneshwa kwenye luninga na hakuna kilichovunjwa japo siku hizi watanzania wengi hufurahia kuwaingiza matatizoni wenzao kwa kukuza mambo.
hata mimi nilikuwa nashangaa kwanini ayavunje wakati anaweza kuyachomoa akasepa nayo
 
... Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera, amedai mradi huo ulikuwa umekiuka taratibu mbalimbali za kisheria, ikiwemo upatikanaji wa tenda hiyo. Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, mwenyewe ameeleza kushtushwa na hatua ya Mkandarasi huyo, na kueleza taarifa za awali walizipata kutoka kwa wananchi, na kulitaka Jeshi la Polisi kumshikiria Mkandarasi huyo, huku akikiri Halmashauri kutomlipa malipo yake.
Kama mradi umekiuka taratibu za upatikanaji wa tenda, basi wamuunge mkono fundi huyo kwa kuondoa hayo madirisha ili taratibu za kumpata mkandarasi zianze upya
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom