Katambi avunja ngome ya Upinzani Ushetu amwombea kura mgombea wa CCM Comred Emmanuel Peter Cherehani

Mkuu chadema hawashiriki huu uchaguzi. Bora muwatandike UDP na SAU

Jamaa kavurugwa na Chadema mpaka basi, msamehe bure, by the way unajua malipo yao yanatokana na wao kuitusi Chadema? Ikifa na wao malipo no... Haahhahaha
 
Jamaa kavurugwa na Chadema mpaka basi, msamehe bure, by the way unajua malipo yao yanatokana na wao kuitusi Chadema? Ikifa na wao malipo no... Haahhahaha
Si mlisema mwenda zake aliondoka na malipo?
 
Maisha haya bana Sasa huko ushetu CCM inapambana na ACT lakn CHADEMA inaingizwa Sasa sielewi ccm inapambana na ACT au inapambana na chadema huko ushetu

Kila mkiamka mnaiwaza chadema na wakt yule kichaa wenu wa chato aka gaid wenyewe mnamwita hayati anasema upinzan alishaufuta

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani tqngu chadema inaanzishwa kulikuwa na tune huru?
Mlikuwa mnawaibia Kura Mkuu..walipokuja na mkakati wa kuwa wanaolinda kura zao,shughuli ikaanzia hapo,CCM mkaanza kuwacharanga Mapanga na kuwaua kabisa ...siyo poa lakini CCM nyie..
FB_IMG_16336314411223818.jpg
 
Katambi dogo yuko humble sana kweli Chadema ilipoteza kiongozi,Vijana kama Malisa, Yericko, Pambalu, Heche wanahitaji sana CCM waje tujenge nchi yetu,
Uvccm ni kusima cha majungu , fitna ,uzushi na matusi.
Unategemea chama mnachokiita saccos kiwatengenezee viongozi ...
Shwain
 
Katambi dogo yuko humble sana kweli Chadema ilipoteza kiongozi,Vijana kama Malisa, Yericko, Pambalu, Heche wanahitaji sana CCM waje tujenge nchi yetu,
Nyie maccm mmechacha nchi imezeeka mikononi mwenu,na hamkuijenga mjenge nini tena labda mjenge kichanja
 
Tuna ufahamu wa kutosha, ndio maana hatushiriki huo upuuzi na uchaguzi umekosa hamasa. Penzi la kulazimisha halinogi hata mfanyeje. Shirikini na ACT lakini hakuna mtu anajitambua tena ataendelea kushiriki huo ushenzi.
Mkuu mimi ni Chadema ila hili la kukimbia kila Chaguzi tunaua Chama, ACT-WAZALENDO wameshatupiki tayari,
 
Wanaona Cdm wamejitoa na uchaguzi umeishia kudharaulika, ndio maana wanaishia kurusha matusi.
aani maCCM bila kuitaja CHADEMA hayaridhiki na hayana mvuto.
CHADEMA hawashiriki huo uchaguzi, lakini CCM wako busy kuishutumu CHADEMA. Hii inatupa picha kubwa kuwa, CHADEMA ni tishio kubwa la kisiasa hapa Tz, hata kivuli chake kinatosha kuisambaratisha mapema sana CCM.
 
Tuna ufahamu wa kutosha, ndio maana hatushiriki huo upuuzi na uchaguzi umekosa hamasa. Penzi la kulazimisha halinogi hata mfanyeje. Shirikini na ACT lakini hakuna mtu anajitambua tena ataendelea kushiriki huo ushenzi.
Ila 2025 mtashiriki kwa tume hii hii?
 
Huyu dogo Katambi anaushawishi sana tangu akiwa Chadema,
Ndio kiongozi wa kwanza kuachana na Chadema akiwa madarakani na ndio alifungulia watu wote kuhamia CCM kama CCM kunamtu wanapashwa kumshukuru kizazi hata kizazi ni huyu dogo
WEKENI MIZANI SAWA TUONE UMAHIRI WA CCM. USAIDIZI WA TISS NA POLISI UTASEMAJE UNA UMAHIRI?
 
Yaani maCCM bila kuitaja CHADEMA hayaridhiki na hayana mvuto.
CHADEMA hawashiriki huo uchaguzi, lakini CCM wako busy kuishutumu CHADEMA. Hii inatupa picha kubwa kuwa, CHADEMA ni tishio kubwa la kisiasa hapa Tz, hata kivuli chake kinatosha kuisambaratisha mapema sana CCM.
Angalia tu kwenye jorgging, CCM wanasindikizwa na Polisi, Chadema waki-jorgg, Polisi hawa hapa!
 
Ndo maana CCM watu timamu wanawadharau Sana n kuona ni kama chadema walishawamaliza Ila mnasaidiwa na tume na polisi.
SAsa angalia hii thread yako vyama vinavyoshiriki uchaguzi ni ACT na CCM lakini mbumbu WA CCM hamna habari na mpinzani wenu ACT Ila mko busy na chadema ambao hawako kwenye uchaguzi maana yake ni nini ni kwamba mti wenye matunda mengi ndo hurushiwa mawe. Sisi huku tuko busy na chadema digital, Katiba mpya, tume huru kwahiyo tuacheni aisee.

Mbowe si gaidi.
Chadema mnajua sana kujifariji
 
Kumbe mnapenda kushindana lakini mnaingia na matokeo kwenye sanduku wamesema isiwe taabu chukueni ushindi mnalalama hatutaki kwa sasa endeleeni kushikilia
 
Attachments

  • 2957052_VID-20211007-WA0029.mp4
    2.5 MB
Back
Top Bottom