Katambi ashiriki Siku ya Baba Duniani kwa kubeba Mtoto Mgongoni

Baba anabeba mtoto kama mama😀😀😀😀
Mama wa huyo mtoto hayupo karibu apo maana uyo mtoto alivyokunjwa huo mkono mkutano ukiisha atavalishwa p.o.p
 
Huyu kijana ana akili kweli?
Kuwa baba tena baba bora sio kubeba mtoto mgongon
Ni kutimiza wajibu wako kwa familia

Unaweza kubeba mtoto mgongon, kupika,kuosha vyombo,kupiga deki,kufua

Halafu huwez kulipa Ada ya mtoto,kulinda familia mende akipita tuu ndani unakimbia nje na nyumba unahama
Unasubiri wife aje kumtoa mende ndani
Halafu unajiita mwanaume???
 
Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi ashiriki Siku ya Baba Duniani kwa kuonesha mfano wa Baba bora ndani ya familia kwa kubeba mtoto.View attachment 1824788View attachment 1824790View attachment 1824792View attachment 1824794View attachment 1824796View attachment 1824793View attachment 1824795View attachment 1824797
Mbona sasa amevamia uwanja wa kina mama wakati yeye baba...kuwa baba bora sio lazima kujifungasha mtoto mgongoni alaaa.
 
Back
Top Bottom