Katambi asema CHADEMA ni sawa na Mgambo JKT, kaamua kujiunga na JWTZ

Msichoke

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
569
400
Patrobas Katambi (Mwenyekiti alieng'atuka BAVICHA) amesema kwa picha ya kijeshi jeshi CHADEMA ni sawa na MGAMBO (hawajaiva kisiasa) na CCM ni jeshi kamili (JWTZ) ndio maana amehamia.

Akizungumza hii leo katika mkutano mkuu wa UVCCM,Katambi amesema Upinzani umeshindwa kujenga Imani mioyoni mwa Watanzania.

Huyu jamaa(karai) mbona Kama anahasira sana na chademaTumemkosea nini!!
20171122_100156.png
 
Patrobas Katambi (Mwenyekiti alieng'atuka BAVICHA) amesema kwa picha ya kijeshi jeshi CHADEMA ni sawa na MGAMBO (hawajaiva kisiasa) na CCM ni jeshi kamili (JWTZ) ndio maana amehamia.

Akizungumza hii leo katika mkutano mkuu wa UVCCM,Katambi amesema Upinzani umeshindwa kujenga Imani mioyoni mwa Watanzania.

Huyu kijana ni mshamba sana ! Hivi chadema waliokota wapi mtu duni kama huyu ?
 
Huyo inawezekana cdm ikamtumia kama shushushu , wanaccm wenzangu tuwe makini kwasababu hadi sasa hakuna cdm makin aliyetoka kule
Naomba uniambie kitu gani hasa Chadema wanaweza kuwapeleleza ccm ambacho hakijulikani.
 
Naomba uniambie kitu gani hasa Chadema wanaweza kuwapeleleza ccm ambacho hakijulikani.
na aelewe kuwa ccm ni chama dola haiwezi kuchunguzwa na kupelelezwa na chama cha hovyo kama chadema!!
 
Back
Top Bottom