Katambi asema CHADEMA ni sawa na Mgambo JKT, kaamua kujiunga na JWTZ

Tatizo la mke kuachika kwa Mme lkn akawa bado anampenda haishi kumuongelea kila alipo. Katambi bado anaipenda ndoa yake ya kwanza iliyombikiri, mwanaume aliyenaye Leo anaishi naye tu kwa sababu ana uwezo wa kifedha lkn CHADEMA iliyombikiri bado anaipenda sana. Katambi vumilia tu japo kwa muda kidogo maana nafahamu utarudi kwenye ndoa yako ya awali.
 
Khaa CHADEMA acheni kumsakama mwenzenu mbona wengi amehama tu huko mna shida,ebu jaribuni kujirekebisha.Kabla hamjakimbiwa na wanachama wote.
 
Hawa vijana uchwara tusipowaziba midomo hii wanayochana kama mamba kwenye microphones tutapata majanga huko baadae.

Kama wameanza kudharau vyombo vyetu vya ulinzi kuwa wengine ni mgambo na wengine ni JWTZ watafikia eneo watajiona kuwa wamevuka kiwango cha JWTZT na TISS.

Inabidi siasa yetu , tuitenganishe na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kabisa hasa hawa vijana wanaoibukia kwenye siasa kama uyoga huku wametanguliza matumbo na njaa Kali huku akili wakizikalia.

Ikumbukwe kuwa , kwenye vita ile ya kumuondoa nduli Amin Dada kule Uganda jeshi Letu lilitumia aina zote hizo za askari kuanzia mgambo na walifanya kazi iliyotukuka sana.

Viongozi wa vyama vya siasa ,,, tunaomba mwakanye na ikibidi vijana kama.huyu uchwara mbuzi wenu muwe mnawaandikia hotuba ili wasitumie maneno ya kejeli kiasi hiki kwenye hotuba wanazotoa.

Ila tukiendelea hivi,,, safari itakuwa nzito sana siku mgambo wakichachamaa au kundi jingine likitafsiri vinginevyo maneno kama ya hiki kijana mbuzi.
 
Back
Top Bottom