Kataa au ukubali, USA ni Polisi wa Dunia anayewapiga vibao warusharusha miguu

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana jamvi,

Kataa au ukubali kuwa US ni police Wa dunia, katika kutekeleza majukumu yake wakati mwingine ni lazima kutumia nguvu hasa kwa wale wanaoonyesha kutunisha vifua. Wapo wanaodai inaonea watu au nayo inakiuka haki, US kama police Wa tz, wakati Wa kukukamata ULA mbata za kutosha.

Ingawaje wako tofauti kidogo, hawa kidogo wanaanza na uchunguzi, watz wanakutia kilema kwanza au kuozea sero bila kushitakiwa kwa muda kadhaa. Au unapewa kesi za uonevu ambazo hazina dhamana.

Cha kushangaza linapokuja kwa viongozi wetu mbona nao wanalalamika? Matendo wafanyayo si kama wanavyofaniwa na police US.

Wakidanyiwa wao wanasema wanaingiliwa. Tukifanyiwa sisi wanatekeza majukumu.
 
Wana jamvi,

Kataa au ukubali kuwa US ni police Wa dunia, katika kutekeleza majukumu yake wakati mwingine ni lazima kutumia nguvu hasa kwa wale wanaoonyesha kutunisha vifua. Wapo wanaodai inaonea watu au nayo inakiuka haki, US kama police Wa tz, wakati Wa kukukamata ULA mbata za kutosha. Ingawaje wako tofauti kidogo, hawa kidogo wanaanza na uchunguzi, watz wanakutia kilema kwanza au kuozea sero bila kushitakiwa kwa muda kadhaa. Au unapewa kesi za uonevu ambazo hazina dhamana. Cha kushangaza linapokuja kwa viongozi wetu mbona nao wanalalamika? Matendo wafanyayo si kama wanavyofaniwa na police US. Wakidanyiwa wao wanasema wanaingiliwa. Tukifanyiwa sisi wanatekeza majukumu.
Naona kama unaandika kwa kufarijika na hilo! Lina faida yoyote au unatoa habari unayoamini hatuijui? Kwa akili za aina hii ndo maana ni vigumu kupata rais anayejitambua kuongoza nchi.
 
Wana jamvi,

Kataa au ukubali kuwa US ni police Wa dunia, katika kutekeleza majukumu yake wakati mwingine ni lazima kutumia nguvu hasa kwa wale wanaoonyesha kutunisha vifua. Wapo wanaodai inaonea watu au nayo inakiuka haki, US kama police Wa tz, wakati Wa kukukamata ULA mbata za kutosha.

Ingawaje wako tofauti kidogo, hawa kidogo wanaanza na uchunguzi, watz wanakutia kilema kwanza au kuozea sero bila kushitakiwa kwa muda kadhaa. Au unapewa kesi za uonevu ambazo hazina dhamana.

Cha kushangaza linapokuja kwa viongozi wetu mbona nao wanalalamika? Matendo wafanyayo si kama wanavyofaniwa na police US.

Wakidanyiwa wao wanasema wanaingiliwa. Tukifanyiwa sisi wanatekeza majukumu.
Mkuki kwa nguruwe
 
Back
Top Bottom