Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Mipango mkakati mingi ya CHADEMA huwa haitekelezeki na ikitekelezeka, huwa haidumu na ikidumu hainaga matokeo (impacts) kwa jamii kisiasa.
UKUTA haikudumu hata miezi 3. Kisa na mkasa, kampeni ya upandaji miti iliyozinduliwa na RC Dsm Bwn Paul Makonda. Ilipofail, CHADEMA haikujitathmini na hawakutolea maamuzi yoyote.
Hivi majuzi mwishoni mwa mwaka wa jana , wakaja na KATA FUNUA.
Imeishia wapi hii kitu?