Elections 2010 Kata 23 zilichagua madiwani jana 28/11/2010

AmaniKatoshi

Senior Member
Mar 31, 2009
158
14
Wajameni, habarini za leo tena?

Ninakumbuka kuwa jana Kata 23 ambazo hazikufanya uchaguzi wa madiwani wake tarehe 31/10 zilipaswa kuwachagua wawakilishi hao jana. Je, kuna mwenye updates za matokeo? Au yanasubiriwa kutangwaza na NEC TAIFA-DSM?
 
Back
Top Bottom