Kasyupa arudi CCM; amwagia sifa JK! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasyupa arudi CCM; amwagia sifa JK!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 12, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mwandishi Maalum, Kyela
  Daily News; Sunday,October 12, 2008 @20:17


  My Take:
  Yawezekana amechukua uamuzi muhimu kabisa katika maisha yake.
   
 2. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Pensheni, au?
   
 3. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Makamu mwenyekiti katika wilaya ya Kyela anakabidhi kadhi kwa mwenyekiti ya ccm taifa ambaye ni pia rasi ya JMT.

  Kuimarika au kufilisika?
   
 4. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Karibu tena Nyumbani Mh. Alipipi Kasupya.
  CCM ni Mambo yote ndani ya yote.
  Kidumu Chama Cha Mapinduzi !!!
  Kidumu Chama Tawala (hapa Tanzania) !!!
   
 5. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Dr Masumbuko Lamwai alipokabidhi kadi yake ya NCCR Mageuzi kwa Mkapa hakuwa na cheo chochote kwenye chama chake wakati huo, sembuse huyu mwenyekiti wa wilaya? Hapa JK kavuna bonge la mwanaupinzani tena kiongozi!
   
 6. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mjj katoka wapi kaenda wapi eti? Labda mimi sijui siasa, hivi kuna tofauti hapo?
   
 7. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kumbe mchungaji Ladislaus wewe ni mwana-CCM damu kijani kabisa?
   
 8. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  atakuwa anajiliwaza kwa hilo baada ya maumivu
   
 9. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii habari ni kama haiko sahihi, Kasyupa alikuwa makamu wa Mwenyekiti wa TLP kitaifa na wala sio kwa wilaya ya Kyela. Kumbukumbu zangu zote zinaonyesha hivyo, kama kuna mtu ana habari tofauti aseme.

  Mpaka wakati wa uchaguzi wa mwaka 2005 alikuwa ni makamu mwenyekiti wa TLP ila hakugombea ubunge na alikuwa anamuunga mkono Dr. Mwakyembe.
   
 10. C

  Chuma JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huku Kyela hakuna vijana waliomzomea Mkuu? au Mkuu kalamba Dume?...

  .....Hali ya Maisha ya baadhi ya wapinzani ni Mbaya....Ili uwepo ktk Political Business lazima uwe na Backing...
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Oct 13, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Zamani tulikuwa tunasema "goli la kufutia machozi" nadhani hili litakuwa ni mojawapo ya magoli hayo.
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Oct 13, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Tufwile! mwe ghwa ghwitu!

  Katoka TLP kaenda CCM, inakuwa kama anatoka Yanga kids anaenda Yanga ya wakubwa enzi hizo!
   
 13. Mzee wa Gumzo

  Mzee wa Gumzo Senior Member

  #13
  Oct 13, 2008
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WALA HAUJAKOSEA LADI,
  SISIEMU NI MAMBO YOTE NDANI YA YOTE UKIWEMO UFISADI NK
  Usikatae ndicho ulichosema hapo.

  Kitaendelea kudumu maadamu wenye kukikumbatia wangalipo.

  Nenda,nenda baba kwenye vijisenti vya kiulainii ingawa ni odi zetu.
  IKO SIKU MBINGU ZITAFUNGUKA NA SAUTI ITASIKIKA
   
 14. 255Texter

  255Texter Senior Member

  #14
  Oct 13, 2008
  Joined: Aug 31, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sidhani kama hilo ni goli kwa mtazamo wowote ule. Hiyo ndio tunaita political stunt ambayo inaweza kuwachota akila mazuzu na mazezeta wasio na uwezo wa ku-analyse mambo ...Oh wait a minute, i think that's what Chiligati said kuhusu uwezo wa watanzania wa kutafakari sera na vimbwanga vya kisiasa.

  Hata hivyo kiongozi wa chama mufilisi kama TLP akirudi CCM i wouldn't really count that as pigo kwa upinzani, he really didn't count.
   
 15. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Mambo mengine bwana, toka wameanza kutoka na kurudi kuna kitu gani kilichobadilika katika siasa za taifa au maisha ya wananchi?

  Tufike mahali wananchi tuwe tunajiuliza kuhama kwa hawa viongozi wetu uchwara what is there kwa taifa letu?

  Mimi naamini wote wanahangaikia matumbo tu yao, I mean naomba kujua kuwa toka huyu kiongozi alipotoka CCM na kuingia TLP amewahi kufanya nini hasa cha maaana kwa wananchi au taifa?

  Hii mijadala mingine ni uyanga na usimba tu ndugu zangu, makelele mengi ubingwa wa Africa tu hakuna na never!
   
 16. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2008
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa. Natamani watanzania wote wangelikubali hili

  Tanzanianjema
   
 17. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2008
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kaka suala la kuhama ma kurudi kundini si suala la maslahi tu. Unategemea nini kuwa ndani ya chama cha TLP chini ya utawala wa Mzee MREMA. Kaka kumbuka kuwa vyama vya upinzani havina tofauti sana na madudu ya CCM. Hivyo wakati mwengine hata wale wenye nia ya dhati ya kutoa mchango wao kwa Taifa kupitia upinzani inafika wakati wanakata tamaa. Ni kweli wengi tunaowaona wameshindwa kuhimili mikiki ya kiuchumi ndani ya upinzani lakini pia wapo ambao wamekatishwa tamaa na hali halisi ndani ya vyama hivi pia.

  Lakini vilevile tufurahie huu mtindo wa kurudi kundini miongoni mwa WAPINZANI wa aina ya KASYUPA ambao ukweli waliondoka huko wakiwa makapi yaliyoshindwa kufanya uhuni na uozo wa kutosha kutetea nafasi zao.

  Kuondoka kwao kunatoa nafasi ya siasa za upinzani kuendeshwa na kizazi kipya cha wanademokrasia ambao hawajaathirika sana na siasa za CCM. Hawa ndio watakaoleta mabadiliko na sio wazee wetu wanao ona aibu kukiri kushindwa kama kina MREMA.

  Tanzanianjema
   
 18. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hongera kwa kuona mbali. Karibu CCM
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Unajua nini tena tutegemee?
  Siku nyingine tutasikia amehama chama sisiemu na kurudi tielopi.
  Huu ndio mchezo wa kisiasa usiokuwa na tija yoyote. Wasioujua watabaki wakishangilia na hakuna badiliko lolote maana Kasyupa sio Tanzania. Ni mtanzania kama watanzania wengine tu. Shida zetu wote zitabaki zile zile. Mbaya zaidi umri wake hauna tija tena kisiasa. Kama hakutumia miaka yake 25 bungeni kwa ufanisi bali alibaki na kidumu chama cha sisiemu kama kawaida yao basi ndio imetoka hiyo.
  Mimi nina mfano wa akina Amani Kaburu wa Kigoma ambao walitangaza kwenda sisiemu kwa mbwembwe kwamba eti sisiemu imekuwa na sera nzuri wakati hakukuwa na mabadiliko yoyote kwa jimbo lake la Kigoma.
  Hawa ni wahuni, wanafiki na wazandiki wakubwa na malaya wa kisiasa. Hawapaswi hata kupewa nafasi ya kuwajadili.
   
 20. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2008
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hawakumzomea kwa sababu amewawahi kero yao kubwa ilikuwa huduma mbovu za maji na afya ambazo aliwaagiza Prof.Mwandosya Na Prof.Mwakyusa washughurikie.Hivyo busara imetumika wasiwadhalilishe mawaziri ambao ni wabunge wao wenyewe.Pale hawamhitaji yule RC na Dc wake ndio wenye ugomvi nao.Hotuba aliyotoa Rais pale Tukuyu ya kuwazodoa wafitinishaji wa mkoa wa mbeya(RC,Mwenyekiti CCM na Mwambulukutu) ilikidhi kiu yao.
   
Loading...