Kasyupa Alipipi , Mwenyekiti mpya wa CHADEMA KYELA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,294
217,291
Hii maana yake ni kwamba chadema wilaya ya Kyela sasa imeamua kutafuta pia uungwaji mkono wa wazee wa wilaya hiyo , hasa baada ya kumalizana na vijana .

Taarifa zinaonyesha kwamba Kasyupa Alipipi ambaye alikuwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo na naibu waziri wa kilimo , ni mwanasiasa anayeheshimika zaidi jimboni humo kuliko mwanasiasa yeyote katika hawa walio hai leo.

Mungu ibariki Chadema .
 
Huyo mzee ni mtu maarufu sana na anaheshimika sana huko kyela na mbeya kwa ujumla, hongera çhadema kwa kupata kiongozi makini
 
Inajulikana chadema hawawezi jenga watu wao na kuwaamini. CCM itakuwa inatoa viongozi kwa CHADEMA milele.
 
Kwani CHADEMA ni nchi nyingine tofauti. Wakati wa chama kimoja kila MTU alikua na kadi ya ccm na hata wafanya kazi.
Baada ya vyama vingi, waliolazimishwa kuchukua kadi wanajitoa wenyewe.
Wasomi ni walewale, vyuo ni vilevile, hakuna chuo kinachoitwa chuo cha ccm, kwahiyo kubadili chama ni kawaida Sana.
Uchaguzi wa mwaka 1995 NCCR chini ya Mrema kilipata wabunge 16 wa kuchaguliwa. Ccm ikawahujumu wote wakahamia ccm.
Waulizeni wanaojua siasa
 
Mimi najua siasa. Sijui wewe kaulize mwendo huu wa kuteua mzee wa miaka 90 kuwa mwenyekiti kuna uhai hapa au ndo sera yetu ya kuweka watakao tupigia kura bila kupingwa?
Kwani CHADEMA ni nchi nyingine tofauti. Wakati wa chama kimoja kila MTU alikua na kadi ya ccm na hata wafanya kazi.
Baada ya vyama vingi, waliolazimishwa kuchukua kadi wanajitoa wenyewe.
Wasomi ni walewale, vyuo ni vilevile, hakuna chuo kinachoitwa chuo cha ccm, kwahiyo kubadili chama ni kawaida Sana.
Uchaguzi wa mwaka 1995 NCCR chini ya Mrema kilipata wabunge 16 wa kuchaguliwa. Ccm ikawahujumu wote wakahamia ccm.
Waulizeni wanaojua siasa
 
Kwani CHADEMA ni nchi nyingine tofauti. Wakati wa chama kimoja kila MTU alikua na kadi ya ccm na hata wafanya kazi.
Baada ya vyama vingi, waliolazimishwa kuchukua kadi wanajitoa wenyewe.
Wasomi ni walewale, vyuo ni vilevile, hakuna chuo kinachoitwa chuo cha ccm, kwahiyo kubadili chama ni kawaida Sana.
Uchaguzi wa mwaka 1995 NCCR chini ya Mrema kilipata wabunge 16 wa kuchaguliwa. Ccm ikawahujumu wote wakahamia ccm.
Waulizeni wanaojua siasa
Umemaliza kila kitu .
 
Back
Top Bottom