Kasyupa Alipipi , Mwenyekiti mpya wa CHADEMA KYELA

Hii maana yake ni kwamba chadema wilaya ya Kyela sasa imeamua kutafuta pia uungwaji mkono wa wazee wa wilaya hiyo , hasa baada ya kumalizana na vijana .

Taarifa zinaonyesha kwamba Kasyupa Alipipi ambaye alikuwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo na naibu waziri wa kilimo , ni mwanasiasa anayeheshimika zaidi jimboni humo kuliko mwanasiasa yeyote katika hawa walio hai leo.

Mungu ibariki Chadema .
Ahahahaha! Napiga picha jinsi ulivyokuwa ukitafuta maneno ya kumzungumzia Mzee Alipipi! Ahahahaha!

Ila ajabu hukuzungumzia historia yake ya 'Kuhamahama' vyama maana inatia aibu! Anyway, hongereni kumpata Mwenyekiti mpya 'Anayaheshimika sana'! Ahahahaha!
 
Back
Top Bottom