Kasumba ya ununuaji "Stabilizer" kama kifaa cha kulinda vifaa vya kielectronic na ukweli wake.

Na pia ufahamu kinacho sababisha vifaa hivi vikashindwa kukabiliana na surge ni speed ya surge

Mfano fuse katika standard ya kimataifa ni ile inayokatika kwa muda wa 0.1 second ambayo sawa na 100 milisecond.

Wakati nimekwambia kuwa surge ina speed ya 10 nonosecond hadi 2milisecond boss.
Mkuu upo vzr sana na umekuwa na msaada mkubwa kwetu..... zp kazi za UPS kwani kuna ambazo zina surge protector, je naweza kutumia hizo km mbadala wa mazoea yetu ya kutumia AVS Na the stabilizer??
 
Mkuu upo vzr sana na umekuwa na msaada mkubwa kwetu..... zp kazi za UPS kwani kuna ambazo zina surge protector, je naweza kutumia hizo km mbadala wa mazoea yetu ya kutumia AVS Na the stabilizer??
UPS are the best kama unayo itumie tu!
 
Mkuu upo vzr sana na umekuwa na msaada mkubwa kwetu..... zp kazi za UPS kwani kuna ambazo zina surge protector, je naweza kutumia hizo km mbadala wa mazoea yetu ya kutumia AVS Na the stabilizer??
Kuhusu kazi zake UPS (Uninterrupted Power Supply),hutumika kama back up system pale umeme unapo katika.

Ndani yake zina battery ambayo wakati umeme upo zinajicharge na umeme ukikatika UPS ina take over automatic kuwa chanzo cha umeme.

Zina mfumo safi sana wa surge arrestor.
 
Na pia ufahamu kinacho sababisha vifaa hivi vikashindwa kukabiliana na surge ni speed ya surge

Mfano fuse katika standard ya kimataifa ni ile inayokatika kwa muda wa 0.1 second ambayo sawa na 100 milisecond.

Wakati nimekwambia kuwa surge ina speed ya 10 nonosecond hadi 2milisecond boss.
Ukitaja nonosecond na milisecond ndo kabisaaa unanichanya, nimezoea speed km/h au m/h nk ila thanks
 
Simple stabilizer kazi yake ni kusawazisha kiwango msukumo wa umeme (Voltage).

Kama umeme ikishuka stabilizer huongeza kiwango kilicho shuka kifikie kiwango kile kinacho takiwa.

Na kinyume chake kama umeme utazidi stabilizer itashusha kiwango hicho kifike katika kiwango kinacho takiwa.

Tayari vifaa vingi mfano TV,Ving'amuzi,Charger za simu,Laptop zinaweza kujihudumia jambo hilo.

Kitu ambacho hakiwezi kuwa stabilize na stabilizer ni VOLTAGE SURGE sababu kasi ya voltage za surge ni kubwa zaidi ya kasi ya maamuzi ya stabilizer.

Stabilizer ina speed ya maamuzi kwa muda ya 10milisecond wakati surge inatokea ndani ya 10nanosecond hadi 2milisecond.

Hivyo ni ngumu kwa stabilizer kuizuia surge.
Kulingana na maelezo haya Sioni kosa kwa watu kuzinunua na kuzitumia. Zinasawazisha msukumo wa umeme , yani zina balance, so what's wrong wakuzitumia kupunguza power surge?!
 
Back
Top Bottom