Kasumba ya ukoloni na kutukuza wazungu kwenye damu ya wakenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasumba ya ukoloni na kutukuza wazungu kwenye damu ya wakenya

Discussion in 'International Forum' started by Bongolander, Sep 4, 2010.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kwanza hapa nategemea mawe na madongo kutoka kwa ndugu yangu Smatta.

  Kuna mtu mmoja huko Kenya anaitwa Charles Njonjo, sijui kama bado yupo hai, yeye alisema anawasiwasi sana kupanda ndege anayeoendesha mwafrika. Alikuwa haamini kama kweli mwafrika anastahili au ana uwezo wa kuendesha ndege, lakini Smart kenyans put thumbs up his... by letting KQ hire a number of natives to pilot jumbos. Kama amekufa basi he is kicking his legs in the grave.

  Kuna wengine huwa hawana hata aibu wapoongea kiingereza wanasema wanaongea kizungu (literaly meaning whitesh), wanasahu kuwa hata kifaransa, kireno, kitaliana, kiswede nk pia ni-Kizungu. Ajabu wengine eti wanaona aibu kuongea gikuyu, kikamba au kiluo kwa kuwa hawataonekana kuwa wamesoma.

  Dada yangu pale kutoka Naorobi alimkataa jamaa mmoja Mkenya eti kwa kuwa amepata Bwana mmoja wa kizungu, jamaa mwenyewe huyo mzungu alikuwa amechoka kweli, lakini alimchangua kwa kuwa ni mzungu. Na huyu ndugu yangu mzalendo alipata bibi mwingine mzuri tu ambaye mpaka sasa wapo wote wanaendelea vizuri, huyu dada yangu hata sitaku kusema aliishia wapi.

  Wengine ajabu sana hata wapoongeza kiingereza (wao huita Kizungu) the try so hard to Americanize or britanize it, as a result they turn themselves into a laughing stock.

  Smatta naomba kwa leo niishie hapa.....tell me if this is lie, and tell me whether this is what makes you call yourself proud Kenyan, a better man than your brother across the southern border.
   
 2. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Haya , jukwaa liko kwako bro smatta, set da ball rolling .. tunasubiri
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mr Dennis it seems harder for Smatta to get it rolling
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakenya mapepe sana wakiona mzungu!
  Kuna dada mmoja anafanya kazi na wazungu ofisi ya jirani, yaani amebadilisha hadi mwendo, anatembea hatua za haraka haraka wakati kabla alikuwa bonge ya sleak!
   
 5. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni Ujinga, that's why nobody is interested, can't be more childish than that.
   
 6. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kumbe unaandika kutoka Bongo ? Yaani mpaka miaka kadhaa iliyopita uliweza kuona tofauti kati ya Watanzania na Wakenya kutokana na mbio wao; Watanzania waendapole na Wakenya kwa jumla walikuwa kwa mbio. Hii sawa na salamu ya Ki-TZ "pole ya kazi" - ukiwaamsha watumishi huko TZ wanaolala ofisini kwa salamu hii wote wanafurahi na kujibu kwa sauti moja "asante" wakati ukiijaribu Kenya wanashangaa tu yaani hawaelewi kwa nini wanapewa pole ya kazi.

  Kwa hiyo unaona kuna tofauti za mwendo wa kuchapa kazi je ni ajabu gani kama dada fukani ameongeza gia kidogo baada ya kufanya kazi na wazungu? Tena ni hasara au faida kwa ujenzi wa taifa kama watu wanazoea kuongeza spidi kidogo kazini ???

  (Lakini utulie - tofauti hizi zinabadilikabadilika.... siku hizi sioni WaTZ tena kama waendapole kazini kushinda Wakenya maana wameshabadilika; ukifika Ulaya kuna Wajerumani waliokuwa zamani na sifa ya wachapa kazi kabisa lakini wakiambiwa siku hizi kuongeza kasi wamezoea kuuliza "eti tuko kazini hapa au ukimbizini?" - dunia hukaribiana pande zote)
   
 7. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kuchapa kazi ni vizuri kuiga, lakini siwezi kuiga kutembea kama mzungu, kuongea kama mzungu, au kumsujudia mzungu. Mwendo wa kuchapa kazi ni jambo zuri sana, kama tukiiga hilo watanzania iwe ni kutoka kwa wakenya au wajerumani, sitakuwa na tatizo. Tatizo ni kujifanya mzungu wakati ni Mkenya, kujiita unaongea kizungu wakati unaongea kiingereza, eti kusema unawasiwasi kupanda ndege anayeoendesha mtu mweusi. Khaaaa aibu sana.
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Well i can not agree more. The reason why it is not interesting to him it is because it is naked truth, and indeed childish. But i did not say Kenyans are childish. How can you call English Kizungu, isn't it childish, how about a blackman saying he is nervous flying in a plane piloted by a blackman, that is worse than childish, isn't it.
   
Loading...