Elections 2010 Kasulu mjini ni NCCR

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Kasulu mjini mwalimu machali wa NCCR kashinda.....CCM wanalo....
 
Tupe data mkuu tufurahie basi. At least mwisho wa reli watapata ukombozi
 
Na Kasulu Vijijini Nsanzugwanko wa CCM alikuwa anakimbizwa mbaya na mama mmoja wa NCCR Mageuzi. Najua mnataka data - zikipatikana tutaweka hapa!
 
Na Kasulu Vijijini Nsanzugwanko wa CCM alikuwa anakimbizwa mbaya na mama mmoja wa NCCR Mageuzi. Najua mnataka data - zikipatikana tutaweka hapa!
yeah man....na kuna wakati wana kasulu vijijini walimkimbiza na mawe nsanzu wakimtuhumu kuwafanya wawe na maisha magumu kwa miaka 5 aliokuwepo madarakani......
 
Uyu kijana wa Kasulu anaipenda siasa, na anajua kulilia haki. Safi sana
 
Timba timba timba timba..... timba moyo....
Wajameni tunaomba matokeo ya Kigoma Kusini, kule kwa Kafulila (aliyepikwa chadema akaivia NCCR - Mageuzi). Nasikia huko kura za Ubunge ni kwa NCCR na Urais ni kwa DR Slaa.
 
Back
Top Bottom