#COVID19 Kassim Majaliwa: Wanaopinga chanjo ni wale ambao hawajaguswa na corona kwenye familia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.

Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao.

Pamoja na hayo, Waziri Mkuu amesema njia nyingine ziendelee kutumika ikiwemo kula vizuri na kufanya mazoezi na kupata chanjo kwa waliotayari kupata.
Ameamua kurahisisha mambo....anyway kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe
 
Mngejua vijijini kimenuka watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu chanjo mngenyamaza tu.
Sasa kama hadi gari za msalaba mwekundu zinaitwa wanyonya damu au tafiti za Sensa wanadai ni freemasons unadhani hao wanavijiji wanafanya informed decisions?? Si ndio huko bado wanaamini upinzani ukishika nchi tutaingia vitani??

Ujinga wa watanzania msigeuze mtaji wenu......
 
Hawa wanaopinga chanjo hutumoa vigezo gani hasa?

Mana kama hadi toothpicks ni made in China then wanatokea wapuuzi eti wanahisi mzungu amewategea kwenye chanjo ya Corona?

Then upuuzi mwengine ni pale tusio na taaluma za kitabibu pia tumekua wataalam wa chanjo.
Kama tu kuandika ni majanga utaweza ku analyse Mambo wewe?

Kwenye kahawa huko unaweza.
 
Again and again

strategy is serikali isiwe kushambulia wapinga chanjo

Iwe kuonyesha faida za chanjo against its perceived risks

why are they all repeating the same mistakes? Why?
Why?

Why?
Wao ndo hawako serious,kwanini hawasitishi mbio za Mwenge?
Kwanini wanakusanya watu huko wanakopita?
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.

Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao.

Pamoja na hayo, Waziri Mkuu amesema njia nyingine ziendelee kutumika ikiwemo kula vizuri na kufanya mazoezi na kupata chanjo kwa waliotayari kupata.

Jiwe alikuwa hajaguswa. Hakuguswa ila akapigwa jumla jumla!

Ila katelefoni haoni umuhimu wowote wa tahfifu zozote wahanga sisi zaidi ya kutuongezea mzigo wa tozo na kodi ambao wao haziwahusu?
 
Binafsi afya yangu naijua Mimi na Mungu wangu mtu asinilazimishe kuchanjwa

Mngejua vijijini kimenuka watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu chanjo mngenyamaza tu.

Kizuri Cha jiuza kibaya chajitembeza acheni chajo Kama ni nzuri ijiuze wapuuzi wakubwa nyie punguzeni tozo.
Tozo tushapunguza lakini kachanjwee
 
Dawa zote zina maelezo juu ya side effects, sijajua kwa chanjo, kama zina taarifa za side effects. Sasa kama chanjo ina side effects, kwa nini chanjo hii haina maelezo ya side effects ili hiari ya mtu iwe informed?

Hao wataalam wameona kila kilichomo kwenye chanjo? Je walii-test vipi?
Walatin wanasema...DE OMNIBUS DUBITANDUM...(BE SUSPICIOUS OF EVERYTHING)!
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.

Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao.

Pamoja na hayo, Waziri Mkuu amesema njia nyingine ziendelee kutumika ikiwemo kula vizuri na kufanya mazoezi na kupata chanjo kwa waliotayari kupata.
Ambao ndio wengi na hivyo wasilazimishwe kwa kuwa wengi waliochanja ndio wanaoongoza kufa

Case Study: Tembelea Moshi utajionea mwenyewe wengine walikimbilia kuchanja huko Kenya sasa balaa limepamba moto
 
Binafsi afya yangu naijua Mimi na Mungu wangu mtu asinilazimishe kuchanjwa

Mngejua vijijini kimenuka watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu chanjo mngenyamaza tu.

Kizuri Cha jiuza kibaya chajitembeza acheni chajo Kama ni nzuri ijiuze wapuuzi wakubwa nyie punguzeni tozo.
Hujui lolote kuhusu ugonjwa wa Corona na madhara yake kwa familia nyingi, siku ukigishwa ndiyo utajiona huna maana wala thamani kwa kuona chanjo haina na utaitafuta bila shuruti. Asiye jua maana ya uzima na ugonjwa hufikiri atakuwa mzima kila siku. Dunia duara
 
Back
Top Bottom