Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Sio kazi ya NFRAMie ndo nimekuelewa hivyo labda unifafanulie,
Kwenye swala la kilimo , mkulima wa chini ameachwa mkiwa , ataabike kulima kukopa mbolea , 2akati mwingine apate hasara kutokana na uhaba wa mvua na risks kibao, Muda pekee mkulima anakuwa kwenye spotlight za serikali ni pale anapofanikiwa kuvuna salama.
Ndipo hapo zinapojitokeza mamlaka kadhaa kuja na sheria zake .
Kama kweli tunatakq kuuza proceed maize , swala linatakiwa lianze na kum support mkulima anapopambana kueweka mazao shambani.