Kassim Majaliwa: Serikali imetoaTsh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi toka kwa wakulima

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,051
2,000
Mie ndo nimekuelewa hivyo labda unifafanulie,
Kwenye swala la kilimo , mkulima wa chini ameachwa mkiwa , ataabike kulima kukopa mbolea , 2akati mwingine apate hasara kutokana na uhaba wa mvua na risks kibao, Muda pekee mkulima anakuwa kwenye spotlight za serikali ni pale anapofanikiwa kuvuna salama.
Ndipo hapo zinapojitokeza mamlaka kadhaa kuja na sheria zake .
Kama kweli tunatakq kuuza proceed maize , swala linatakiwa lianze na kum support mkulima anapopambana kueweka mazao shambani.
Sio kazi ya NFRA
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
26,581
2,000
Unalima kwa ajili ya NRFA?
Dhima ya kuanzishwa NFRA ni ili kuweka hifadhi ya chakula pale endapo mvua zinakuwa za kutosha na mavuno yanakuwa mengi kuliko mahitaji, ili endapo msimu ujao kunatokea upungufu wa mvua, basi NFRA wanauza chakula kwa bei ya soko ili kuziba pengo, na endapo uzalishaji utaendelea kuwa mkubwa msiku unaofuata basi utaratibu unafanyika kukiuza chakula nchi jirani zenye uhaba wa chakula kama Kenya , Uganda na Sudan kusini.
Hivyo basi, ni jukumu la NFRA kulinda wakulima kwa kuwahakikishia soko ili wapate nguvu na uwezo wa kulima mwaka hadi mwaka, hilo ndio jukumu la NFRA.
 
Hapa unatunga wewe ,sio jukumu na huwa hawanunui kila mwaka kwa taarifa yako.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
26,581
2,000
Hapa unatunga wewe ,sio jukumu na huwa hawanunui kila mwaka kwa taarifa yako.
Sijasema wananunua kila mwaka, nimesema wananunua endapo uzalishaji ni mkubwa kuliko mahitaji. Na yes, ni jukumu lao kununua ziada, kama kununua ziada ya chakula si jukumu lao, then what is?
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
26,581
2,000

Halafu NFRA mnawapa bilioni 15 kweli, are we serious? Hizo tozo zote mnafanyia nini??!!!!!
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
26,581
2,000
Hili swala serikali iachane nalo na kama lina ulazima wanunue kwa ajili ya hifadhi ya chakula tuu sio eti kuwa soko la wakulima.

Nimeona wakulima wanapiga a vikumbo malalamiko kibao kana kwamba Serikali ndio ikiwaambia walime mahindi itanunua au serikali ndio imeshusha bei za mahindi.
NFRA ipo kwa ajili ya usalama wa chakula, wakulima wakalima kwa wingi na wakakosa pa kuuzia, basi msimu ujao watashindwa kulima au la ukatokea ukame na tukawa hatuna hifadhi itatokea njaa. Wakulima ni lazima walindwe, nchi zote hukinda wakulima zake.
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,051
2,000

Halafu NFRA mnawapa bilioni 15 kweli, are we serious? Hizo tozo zote mnafanyia nini??!!!!!
Huko Kanda ya Ziwa jiandaeni pesa tuu Southern Highlands hatutawaangusha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom