Kassim majaliwa na mama Samia suluhu Ni viongozi bora

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kwa dhati kabisa napenda kuwapongeza Hawa viongozi wawili kwa utumishi wao uliotukuka.

Hawajawaangusha waliowateuwa waliowafanyia vetting na mwisho kabisa hawajawaangusha wananchi.

At least nyie mnatukosesha sababu ya kuwakosoa na kuikosoa serikali.

Kassim majaliwa anasimamia serikali vizuri sana na mama Samia anamsaidia rais Magufuli vizuri Sana japo rais anaonekana ni mtu mtata sana kufanya nae kazi.

Mungu awabariki kassim majaliwa na mama Samia suluhu.
 
Tumsimamishe mmojawapo urais mwaka huu na tutupilie mbali jiwe.
 
Hahaha inakuwaga hivyo wakiwa nyuma huko, hata Rais Magufuli alipata washabiki sana alipokuwa nyuma nyuma huko, sasa yuko mbele yeye kila mtu anamkosoa na hamtaki.

Hiko hivyo popote, ukiwa waziri unafaa,ukipewa urais sasa ndio utajishangaa.
 
Back
Top Bottom